Nimeokota simu maeneo ya chuo UDSM,mwenye kudhani ni yake aniPM

mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Katika pita pita zangu maeneo ya Chuo (Udsm),nkaokota Simu ya gharama sana tu,nlipojaribu kumpigia mmoja wa watu waliomo kwenye simu yake ili nimuelekeze nilipo,simu ilizima charge,baadaye nilitoa lainikwenye simu yake ili niweke kwenye simu yangu na kuwatafuta watu wa karibu yake,nkaambiwa registration failed,nadhani aliamua kui block line kwa usalama wa Mali zake (kama zipo kwenye line),na mimi nataka kumrudishia simu yake coz najua Ana ihitaji sana tu,ni simu ya bei ghali sana tu,kwa hiyo kama mtu mwenye simu hii yupo humu,ani pm,anielezee particulars za simu yake,na maeneo aliyopotezea simu yake,ntamrudishia simu yake,please usinitafute kwa udanganyifu,ukifanya hivyo ntakusweka lock up!!!!
 
Mwalupale

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
1,054
1,500
Hahahaa mkuu wewe ndio yule msamalia mwema? Anyway ngoja aje humu jf kutafuta simu yake utampa.
 
mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Hahahaa mkuu wewe ndio yule msamalia mwema? Anyway ngoja aje humu jf kutafuta simu yake utampa.
Si vema sana kumfanyia mwenzako jambo usilopenda kufanyiwa,Simu nliyonayo inanitosha kabisa,hivyo kumrudishia simu yake huyu aliyepoteza si jambo baya!!
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
9,174
2,000
Is this a joke or something!? Kama una nia ya dhati kurudisha simu ya watu, angalia calls humo au namba yote upige na meseji itamfikia mwenye simu ns ataelekezwa jinsi ya kukupata. Una assume kila mTZ anakuja JF?
 
RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,377
2,000
Nadhani icharge hiyo simu, chungulia namba yeyote recent called from that number, mpigie kupitia simu yako harafu endelea na taratibu zako zingine.
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,690
2,000
Huyu jamaaa anaweza kuwa ana busara sana au hizi cm za kisasa mwenyewe mfano IPhone zina kitu inaitwa Icroud , ukipoteza simu unai lock na una uwezo wa kuijua popote ilipo ht km ni shimoni, km ni cm ya gharama mwenyeww atai trace na kuifuata kwako mkuu, ukiweka line nyingine atakupigia maana ana uwezo wa kujua number inayotumika kwny cm yake
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,423
2,000
Hizi smartphone ni majanga kuichukua,maana ukitoa line ukaweka ya kwako tu inamtumia sms mwenye simu ikiwa na namba iliyowekwa kwenye simu.
 
mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Huyu jamaaa anaweza kuwa ana busara sana au hizi cm za kisasa mwenyewe mfano IPhone zina kitu inaitwa Icroud , ukipoteza simu unai lock na una uwezo wa kuijua popote ilipo ht km ni shimoni, km ni cm ya gharama mwenyeww atai trace na kuifuata kwako mkuu, ukiweka line nyingine atakupigia maana ana uwezo wa kujua number inayotumika kwny cm yake
Ni sio iPhone mkuu,nlijaribu kuweka line yake kwenye Simu yangu ili nipate namba ya mtu wa karibu yake,lakini nkagundua kuwa amei block line yake,kwa hiyo hakuna namna yoyote ya kuwasiliana na watu wake wa karibu,nimekuja Hulu nikiamini kwamba wasomi wengi ni members wa jf,pengine nawezampata mmiliki,nisipompata basi!!!
 
mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Usitufanye watoto bana. Hiyo iliwezekana Tanganyika ya mwaka 1870 sio leo hii tunaporana mkononi mchana kweupe ati leo uokote halafu umtafute aliyepoteza. Labda kama ni masharti ya mganga wako........
Mkuu kumrudishia mtu Simu aliyopoteza ni ajabu?mimi Nina simu mbili za aina hiyo hiyo,sasa tamaa ya kutomrudishia mwanafunzi simu yake itatoka wapi??(japo sina uhakika kama ni mwanafunzi au la)
 
mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Is this a joke or something!? Kama una nia ya dhati kurudisha simu ya watu, angalia calls humo au namba yote upige na meseji itamfikia mwenye simu ns ataelekezwa jinsi ya kukupata. Una assume kila mTZ anakuja JF?
soma vizuri maelezo ya post yangu,utaelewa vizuri,inaonekana ume comment bila kusoma post husika,siku nyingine uwe Una comment baada kukielewa kitu vizuri,ni ushauri tu
 
Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,246
2,000
Usitufanye watoto bana. Hiyo iliwezekana Tanganyika ya mwaka 1870 sio leo hii tunaporana mkononi mchana kweupe ati leo uokote halafu umtafute aliyepoteza. Labda kama ni masharti ya mganga wako........
Mkuu hilo hata leo linawezekana si kila mtu ana roho ya tamaa.kama kweli ameokota na ameamua kumrudishia mwenyewe tumpongeze tu na usi-generalise kuwa hakuna wa kufanya wema huo, wapo tena wengi tu.
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,690
2,000
Ni sio iPhone mkuu,nlijaribu kuweka line yake kwenye Simu yangu ili nipate namba ya mtu wa karibu yake,lakini nkagundua kuwa amei block line yake,kwa hiyo hakuna namna yoyote ya kuwasiliana na watu wake wa karibu,nimekuja Hulu nikiamini kwamba wasomi wengi ni members wa jf,pengine nawezampata mmiliki,nisipompata basi!!!
Kama sio smartphone basi gharama yake sio kubwa sana km ulivoainisha kwny uzi wako, simu za kawaida bei haizidi laki moja...uliposema simu ya gharama sana mawazo yangu yaligota kwny iPhone 6...
 
mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Kama sio smartphone basi gharama yake sio kubwa sana km ulivoainisha kwny uzi wako, simu za kawaida bei haizidi laki moja...uliposema simu ya gharama sana mawazo yangu yaligota kwny iPhone 6...
Ni smart phone,lakini si unajua zipo za aina nyingi,Kuna HTC,huawei,Samsung,Nokia n.k!!!
 
zambez

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
2,074
1,195
Ni yangu ila nimeshanunua ingine so ipotezee tu hiyo au wape mafundi waitumie kama spair.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
MWL OTE=mwambunnyara;11392550]Mkuu kumrudishia mtu Simu aliyopoteza ni ajabu?mimi Nina simu mbili za aina hiyo hiyo,sasa tamaa ya kutomrudishia mwanafunzi simu yake itatoka wapi??(japo sina uhakika kama ni mwanafunzi au la)[/QUOTE]
Unarudishasababu ni mwanafunzi angalizo
Kama niya
Mwl unaifanyaje??
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Nenda posta Kama umedhamiria uliza sapna utalipa 15,000

Reg Pass

Sio failed tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom