MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,754
Habari wanajamvi,
Kama bandiko linavyojieleza hapo juu,
Ni katika pitapita zangu za pasaka hapo jana nikabahatika kuokota kisimu kidogo aina ya tekno laini mbili
Kwa haraka haraka bila shaka simu hii ni mali ya kijana wa bodaboda hasa wale wanaosuka vijirasta au kijana mwingine mtukutu,
hii ni kutokana na maudhui yaliyomo kwenye text ambazo nilikua napekua angalau nimjue aliyekua anachat naye ili nimpigie tuonane achukue simu ya nduguye
Sikukuta chat nyingine zaidi ya hili jina lililoseviwa kama
MKE WA JONI
Kilichokua kinapangwa kufanyika siku ya jana kati ya huyu mmiliki wa simu na MKE WA JONI ndicho ambacho kimenifanya niapie abadani sitakirudisha kisimu hiki nilochookota
Badala yake nitampatia bibi yangu aendelee kukitumia ili na yeye angalau awe kwenye huu ulimwengu wa mawasiliano
Narudia tena kama ni wewe uliyeangusha kisimu chako na kina maudhui yanayomhusu mke wa joni.....sahau kuhusu simu yako
Na kama wewe ni bwana JONI aanza kifuatilia nyendo za mke wako na usikae kibwege
AHSANTE, pasaja njema!