Nimeokota bahasha ya vyeti vya mtu

Nimeokota bahasha ya vyeti vya mtu

Gone gud

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
73
Reaction score
76
Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
 
Ungeweka jina la mhusika ingependeza zaidi. Jamaa na marafiki watasaidia kumfikishia ujumbe kama mwenyewe hajaona. Ubarikiwe mkuu.
 
Weka majina ya mwenye vyeti. Angalia kama kuna CV humo ndani. Mpigie simu kumjulisha kuwa una vyeti vyake
 
weka jina la mhusika, shule na chuo alichosoma tukusaidie kushare
 
Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Habari yako bado haijajitosheleza kusaidia aliye vipoteza kuvita.
Majina wala shule alizopitia huyo mhitimu hutaki kutaja sawa,lakini pia hata eneo ambalo umeokota hutaji.
Au uko koromije huko nini?
 
Umeokota vyeti vya MTU ya kupasa;
~kutaja jina lake
~ shule na vyuo
~umeokotea wapi/mahali
~sambaza kwenye social group nk.
~usiwe na tamaa ya kutaka ulipwe Fedha
 
Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Gone gud Mimi nimepoteza vyeti vyangu kuanzia leaving certificate ya LA saba ,,,chuo chakuzaliwa cha form four Na six Na vilikua mwenye bahasha ...... Naomba Ku contact Na ww ...namba vyangu ni 0768432820...pls naomba tuwasiliane.... Naitwa FAIZat Na ntakuja Na vitambulisho zangu... Rafiki yangu kanitumia hili tangazo....plsssssss
 
Gone gud Mimi Naitwa FAIZAT nimepoteza vyeti vyangu vyote kuanzia leaving ya LA saba mpka cha chuo.. . naomba unitafute kwa namba 0768432820 tuwasiliane plzzz...nimepewa ili tngazo Na rafiki angu,,,ntakuja Na kitambulisho changu .. Pls naomba uni contact... N VIlikua kwenye bahasha ....
 
Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Gone gud Mimi nimepoteza vyeti vyangu naomba tuwasiliane 0768432820 kuanzia lasaba mpka vya chuo....
 
Back
Top Bottom