Hujasema ni Eneo hilo shamba lako lipo
Maelezo yaliyofuata unadai kuwa kutakuwepo na mipango Miji
Ni kwamba kwa Ardhi yoyote hapa TZ ipo chini ya Rais na Hati miliki zimegawiwa katika Umiliki wa miaka 33, miaka 66, na miaka 99 kuanzia utakapoomba.
Km utakuwa Mjini au Jirani na Mji tambua kwamba Mji unapanuka kila siku hivyo kukuta wewe mwenye Ekari 18 haitachukua miaka 5
Kwa vile hiyo ardhi ni ya kulima tu na ndivyo mnavyoitumia litakapofikia hatua ya kupanuliwa kwa Mji wataangali Hati Miliki yako km ipo wataisubiri iishe na hawatakupa ingine kwa hiyo sehemu hiyo wanaweza kukuruhusu uwauzie wananchi wajenge nyumba au Serikali iichukue kujenga Mji, Hospital Vyuo nk
Nakushauri uombe Hatimiliki ya Kijiji kwa ajili ya Kilimo na wakupimie km upo Kijijini lakini km upo Mjini naona wapo wataalam humu JF watakufafanulia ni vipi upate Hati miliki ya miaka 99 Ujenge Chuo? au