Nimenusurika kung'atwa na mbwa sita

Hili ni tukio limenitokea muda si mrefu na nimeona nilete hili tukio kwenu wana jf,natumiani wote mko wazima mnaendelea na maandalizi ya christmass hapo kesho ,ishu ilikua hivi
Nimerudi zangu home mida ya saa tatu na sikua na mpango wa kula chakula usiku maana nilijihisi nimeshiba so nikachill zangu nachek tv mpk mishale ya saa tano ndipo nikaanza kuhisi njaaa,niljaribu kuipuuzia lakini ilizidi kupeleka mashambulizi,nikaona isiwe tabu nikachukua hela niende kusaka msosi apo bado saa tano hiyo kwenye huu mtaa nnaoishi pako kimya sana na usalama ni wa kutosha,so sikuona shida kutoka japokua saa tano ni mapema lakini huku kunakua kumepoa sana unaweza hisi ni usiku mnene kumbe bado mapema,basi bana nikaanza kuchapa mwendo mdogo mdogo kusaka msosi nikakamata barabara ya vumbi ambayo inaenda mbele mpaka kwenye barabara ya lami ambapo kumechangamka na ndiko nilipopanga kwenda kupata maakuli,Sasa hii barabara ya vumbi inatenganisha pande mbili za mtaa upande wa kushoto na upande wa kulia sasa upande wa kushoto kuna nyumba flan Ina geti na frem kama tano ivi zimepangana so hii nyumba ndo hawa mbwa wanakoishi na kuna mlinzi ndo analinda nao mida ya usiku so ukipita muda ya usiku unawakuta hawa mbwa wamezagaa nje ya geti na mlinzi akiwa pembeni na gobole lake akiskiliza redio kusogeza masaa lakini muda ya mchana sio rahisi kuwaona sijui wanakuwaga wapi anyways tuendelee Kawaida yangu huwa nikipita hii nyumba yenye hawa mbwa huwa napitaga pembezoni kabisa yan upande wa kulia wa barabara maana mm ni muoga sana wa mbwa basi na kwakua hawa mbwa wanakua wapo nje ya geti lao ambayo ni territory yao basi hawana shida na mtu unapita zako kiroho safi.basi bana Leo ndo naenda zangu kusaka msosi baada ya kufika maeneo ya ile nyumba yenye mbwa kama kawaida yangu nikapita zangu upande wa kulia mdogo mdogo nikaipita ile nyumba yenye mbwa lakini hawakuwepo nje pale wala sikuwaza kitu kuhusu wale mbwa kuwepo pale nje au kutokuwepo pale nje maana sio issue sana na mda huo akili yangu ilikua kwenye msosi nikale nirudi kulala sasa bhana kwenye huu upande wa kulia niliokua napita kuna kigiza giza lakini sio giza la kutisha ushindwe Kuona unapoelekea ni kigiza uchwala tu sasa wakati nipo eneo hilo napiga jicho mbele naona mbwa mmoja amejilaza pembezoni mwa njia nikaangalia vizuri nikamuona mwingine tena nilisita ghafla nikasimama kama sekunde kadhaa na fasta akili ikaniambia hawa ni mbwa wa nyumba nilioiacha nyuma ambayo iko upande wa kushoto mwa ile barabara ya vumbi kwa ile mara ya kwanza sikua na hofu kwasababu kwanza hawa mbwa huwa sjawah kuona kama ni wakorofi na pili hawakuwa kwenye territory yao ambayo ni nyumba ya upande wa kushoto mwa ile barabara ya vumbi na kwa nijuavyo mm mbwa anakua mkali ukijaribu kuingia kwenye utawala wake na hakufahamu apo ndo inakua kasheshe lazima wakuzingue Basi kwakua hawa mbwa wamekaa njiani ambapo watu huwa wanapita mara kwa mara na sio territory yao nikaona hawatosubua basi nikaendelea kutembea kuelekea walipo wale mbwa wawili...aisee yan kitendo cha kuendelea kutembea kuelekea walipo wao nikaskia mbwa mmoja akinibwekea na yule mbwa mwingine nae akaanza kubweka so wote wawili wakaanza kubweka yan ile kufumba na kufumbua nikaona mbwa wengine wanne ambao sikuwaona hapo kabla nao wakinibwekea nikawa nabwekewa na mbwa sita aisee nilipigwa na butwaa nikasimama nisijue la kufanya huku mapigo ya moyo yakienda kwa kasi sana na vinyoleo kusimama kuashiria hatari kubwa iliyokuwa mbele yangu na wale mbwa wakazidi kunisogelea huku wakibweka yan njaa yote iliisha dah nilikua naona tu kwenye movie mtu amekabiliwa na hatari ya ghafla na kubaki amesimama tu japokua alikua anaweza kukimbia na kujiokoa kumbe amepata shock asijue la kufanya lakini sisi watazamaji tunamuona boya kwa kusimama badala ya kusepa na kuokoa maisha yake,anyways turudi kwenye mkasa wangu Sasa baada ya kuona nipo kwenye hatari kubwa na kuzungukwa na mbwa sita ilikua ni muda wa adrenaline gland kuamua hatma yangu kama mtakua mmesahau adrenaline gland ni hormone inayikuongoza kufanya maamuzi ya haraka pale unapokua kwenye hatari na inakuaga ni fight or flight yan ukabiliane na adui yako au ukimbie yan usepe au kitaalamu tunaita kuchimba..basi bana nakumbuka 2018 nilikua napenda sana kuangalia videos za self defense youtube na niliangaliaga videos za jinsi ya kukabiliana na mbwa yan how to protect yourself from dog attacks basi nikakumbuka the number one principle ni kamwe usikimbie unapokua na mbwa anaetaka kukudhuru na principal ya pili usimpe mgongo hakikisha haumpi mgongo basi nilifatisha principle ya kwanza ambayo ni kutokimbia basi bhana ilibidi nisimame niskilizie mbwa wata react vipi lakini waliendelea kubweka na ile principle ya pili ilivonijia kichwan kwamba usimpe mbwa mgongo ndo nilizidi kujawa na hofu maana walinizunguka wote sita huku wakibweka niseme tu ukweli niliogopa sana nikajua lazima nitaachiwa majeraha leo basi kitu nilichoona kitasaidia sio adrenaline gland kwamba nifanye fight or flight yan nipigane au nikimbie haitosaidia kwa maana wale mbwa wapo sita mm niko peke yangu inaitwa six versus one hiyo afadhali hata angekua mbwa mmoja ningeokota hata mawe na mchanga nikajitetea lakini mbwa sita haha kisanga,so kitu nilichokifanya ni kuinua mikono juu huku nikizunguka zunguka ili niweze kuwaona yan nisiwape mgongo huku nikipiga kelele za nguvu sana aisee nilipiga kelele Kali sana sikuwahi kujua kwamba nina kipaji cha kupiga kelele namna ile wakuu nimeamini tunaishi na vipaji bila kujijua sasa nikaendelea kupiga mayowe ili niweze kupata msaada kutoka kwa watu waliokua karibu kabla mbwa hawajanigeuza kitoweo, kwa bahati nzuri watu walisikia kelele zangu na pia walivoskia mbwa wakibweka basi wakajua mbwa wana attack mtu wakaanza nao kuwafukuza wale mbwa ukichangia na zile kelele nilizokua napiga haha mbwa wakaamua kusepa aisee nashukuru Mungu hawakuning'ata ila nilivosogea Kwenye mwanga ili niangalie kama Nina majeraha Nikaona katikati ya mguu wangu wa kushoto kuna udenda aisee nahisi kuna mmoja alikua anataka kupita na nyama ya mguu japo alipitisha jino na Kuna kimkwaruzo kidogo sanaa na vimaumivu kwa mbaaali yan mpk uskilizie nashukuru nimenusurika dah God is Good maana kama wangeniattack ningeumia pakubwa mbwa sita sio mchezo aisee sasa baada ya kupona hilo janga njaa iliisha yote aisee nilijihisi nimeshiba ghafla kutokana na ule msuko suko nikaona sasa hapa nirudi kulala tu lakini ili nirudi home lazima nipite njia ile ile yenye mbwa walionikosa nikasema wee usintanie naweza kupita tena pale wakanipelekea moto nikasema wala sipiti Nikaenda zangu mbele mpaka Kwenye barabara ya lami nikachukua boda boda ndo nikapita nayo pale na nikiangalia lile eneo nilipokoswa sina hamu haha nikarudi home, uzi tayari.
Dawa ya mbwa ni kubana mbupu zako tu anakuacha .hii imewahi kunisaidia nilipita eneo kama ulilosimulia maeneo ya Kasulu.
Nilibana mbupu wakakunja mikia na kurudi nyuma.
 
Wanaume wa dar mnaogopa mbwa

Huku mkoani tuna winda machaka ambayo simba ndio makazi yao

Hao mbwa wangekutana na mimi ndio wangejua hawajui
 
Hukujisaidia kwenye suruali kweli?
 
Hukutakiwa kusita WaakAti unamwelekea yani mbwa akiwa katikati ya njia kama hajakuona basi hakikisha unakohoa ivi ili ageuke akuone unakuja atakupisha, ila akishtuka kazi unayo,

hata kumwambia toka mbwa si anaelewa ata kwa ishara jamanii au alikua keshaonja bia za krismass, ungeleta wenge wangekugeuza bucha chapu
 
Wale mbwa sijui walipatwa na nn mpk wakataka kunipelekea moto na hawakua Kwenye territory yao nahisi walionja bia wale
 
Back
Top Bottom