Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,598
- 25,729
Yaan nisipopiga simu wiki moja home....Still now upo hvo hvo mkuu...
πππ
Rungu la kipepeRungu runguuu, au rungu runguuu..!!??
Naham sana leo mpaka nahisi kinyeo kinabwinya bwinyaYaan nisipopiga simu wiki moja home....
Yaani watapigiwa ndugu zangu huyo veep huko mzima kweli?
Ila nipo humbled man.....
Nakumbuka form one nshawah jinyoa kwa hizi shevaa kichwani basi nywele kesho yake hazielewek......
Anakuja Ticha mmoja akanikazia macho kweli baada ya wengine kutawanyika akasema nibaki.....
Sasa eeh mbona kichwani kama umenyofolewa nyofolewa Mimi sasa....
Niliamka nikajikuta hivyo.....
Una uhakika...... Najibu ndiyo
Pigwa maswali kadhaa baadae anakuja mlinzi....... Maake nilikuwa famous sana huyu dogo kafanya nini ?
Waalimu kanyolewa na wachawii usiku......
Mlinzi yule asivyojua kuwa na kaba..... Khee Hawa niliwaona wananyoana jumamosi mbona ?
wakashutka khaa! wamuamini nani Mimi au mlinzi....... Nikiulizwa msimamo ni uchawi umehusika π
Basi nikaambiwa ili tukuache twende tukaone matokeo maake tulikuwa tushafanya mitihani ya nusu muhula eeh bhn nilikuwa nimefanya vizuri tuu ..... ukizingatia kipindi tunasoma ukiwa top ten..... unaonekana una akili ππ
Basi nikapongezwa hapo kumbe akili zimo π wakanipa pesa ya kunyoa, rimu paper kiasi....... Hivyo aaani
Ila am humbled man indeed ππ
My friend there people in here jf do not believe in God..HIcho kisa chako kinahusiana vipi na Mungu? Kwamba waliokufa wao hawakuamini kama Mungu yupo?
Kifo ni kifo tu na ipo siku isiyo na jina utakufa my friend.
Kule chini kidogo kulikua na afadhali mkuu wanguChini ya uvungu ndo kulikuwa na hewa nzuri?
Ya kufa au..?Subiri zamu yako inakuja
Dawa ya kuua mbu sprey tuwe nazo makiniKatika ulivyoandika, correlation iko wapi hapo?
Asante mkuu haikua rahisiPole sana mkuu
Wewe kuna hali ulipitia ambayo kusimulia haiwez kani ila unabaki unashangaa tuu watu ambao wanasema hakuna MUNGUMie Toka ninusurike kuchukuliwa na chunusi pale osterbay beach mwaka 1990.Nikajua Kuna mstari mwembamba sana kati ya ardhi na mbinguni.ilikuwa Chrismas
Ya ku experience ukiwa unataka kutolewa rohoYa kufa au..?
Wewe jamaa ukute huo ubilionea wako umeua watu sana ahahahaha ..Nimeumia sana kuona huyo mtu kafeli jaribio lake. Kwa nini asingeniuliza kwanza nimuelekeze sumu Strong ambayo angeku-fumigate wala usingechukia round Poor Brain
Mkuu ukiwa na madhambi mengi kuna kitu lazima uogope ikiwepo kifo...Sasa Mungu kahusikqje hapo mkuu? Maana uzembe wenu wawili sioni mahali Mungu amehusika, kingine kifo tunacho, if not now then later....hakuna wa kukunusuru na kifo hata mmoja, when it's due time unaondoka bila kujali Mungu yupo au hayupo.
Natamani kuzisikia sababu alizokupa!Subiri zamu yako inakuja