Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Nimekuta baadhi ya maduka ya tecno B3,A3,P3,ila zina bei kali kariakoo
Vp hii Techo N 3 ina support Application kama Viber Whatsapp na Ina Playstore au Msaada kwa hilI
Hii si mchina upande wa milio ukiwasha kozani mchiriku!!
Kwa Watumiaji Msaada Plz!!!
Vp wadau hii Application ya Instagram inakubali kwenye Techno N3 msaada kwa watumiaji!!!
Asanteni sna!!!
kufananisha tecno na nokia ni sawa na kufananisha bajaj na landcruiser v6 tatizo hujanielewa sababu umesha kuwa adicted na tecno unachoongelea wewe ni tofauti na ninacho ongelea mimi,kama ni swala la kukaa hata zile michina isiyo kuwa na majina pia nayo inaweza kukaa hata miaka kumi inategemea katika matumizi yako unatumia nini hasa .ila kwa matumizi yangu hivyo vitecno hakichukui hata miezi miwili kipo juu ya mawe tecno hata circuit mechanism yake imekaa kihuni huni tu haina jipya.tatizo lako umeshakuwa brain washed kuwa vya wazungu ndio durable. lakini pia jiulize kama kitu hakidumu kwa nini akupe waranty wa mwaka mzima.??? na akuwekee service center hadi daresalama?? ni kwa kuwa hawana wasiwasi na uimara wa bidhaa zao. kinyumbe cha hapo kila leo bidhaa zao zingekuwa zinarudishwa.
nimenunua nokia original 6110 kutoka hungary ndani ya airport ya dubai na waranty yake lakini nilitumia miezi mitatu 3 ikajiharia, ikawa inajirestart na kujizima ovyo. na nillinunua tecno life pale kariakoo nikaitumia miaka 2 hadi nikaichoka bila ya hata kupoteza uwezo wake wa kukaa chaji. sijui una maoni gani kuhusu hili
sasa hapo vipi????
huwa unaitumiaje?? tofauti na watu wanavyotumia simu??kufananisha tecno na nokia ni sawa na kufananisha bajaj na landcruiser v6 tatizo hujanielewa sababu umesha kuwa adicted na tecno unachoongelea wewe ni tofauti na ninacho ongelea mimi,kama ni swala la kukaa hata zile michina isiyo kuwa na majina pia nayo inaweza kukaa hata miaka kumi inategemea katika matumizi yako unatumia nini hasa .ila kwa matumizi yangu hivyo vitecno hakichukui hata miezi miwili kipo juu ya mawe tecno hata circuit mechanism yake imekaa kihuni huni tu haina jipya.