nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,379
- 3,152
DSTVDecoder gan
Huyo kakubandikizia Ina maana huku taste mitambo mbele yakeDSTV
DSTV bossMkuu utawapatia shida wataalam kukusaidia. Ungeandika ni decoder ya kampuni gani kwa hapa nyumbani mf dstv,azam,startimes nk,model gani ya decoder husika na mengine useful.
SawaNunua Dstv mpya
Uliuziwa shilingi ngapYa DSTV mafundi wanadai kwa sababu ilitumia kitambo ndio maana ilipoteza software, inaandika booting waiting for some times.
kila mara booting, naomba ushauri nirudishe au kama inatibika, nimepiga simu niliko nunua kasema nisikilizie kwanza labda kitaretrive
45000Uliuziwa shilingi ngap
sawa
Hizi si huwa zinapokea OTA Updates kwa Satellite... Vipi toka umeanza kuitumia haijawahi pokea OTA? Na je ulipoinunua ulijaribu kui factory reset?! Au aliekuuzia alkwambia usiireset 😄Ya DSTV mafundi wanadai kwa sababu ilitumia kitambo ndio maana ilipoteza software, inaandika booting waiting for some times.
kila mara booting, naomba ushauri nirudishe au kama inatibika, nimepiga simu niliko nunua kasema nisikilizie kwanza labda kitaretrive