BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Jun 23, 2012 12,321 11,315 Sep 23, 2019 #61 Watu wana vipaji but hawataki viwaingizie pesa ..hawamuoni Yericko Nyerere? Kunde Ekeke said: Ungekuwa marekani ungekuwa milionea kwa utunzi Click to expand...
Watu wana vipaji but hawataki viwaingizie pesa ..hawamuoni Yericko Nyerere? Kunde Ekeke said: Ungekuwa marekani ungekuwa milionea kwa utunzi Click to expand...
LadyRed JF-Expert Member Mar 19, 2016 9,636 11,457 Sep 23, 2019 #62 The Boss said: Nimeshindwa kusoma yote ila nimejiuliza why mtu unaonekana smart hadi kuandika details na tarehe kabbisa ushindwe kufanya maamuzi rahisikabisa? why mwanaume eti useme 'umenasa' huku unaona kuna hatari kubwa ya kutatuliwa marinda au hata kuuwawa mbele yako? unless hii story fake basi una 'moyo wa kike sana' Click to expand... Ndefu sana Nmeishia pale nmemaliza form six 2015..watoto walojaa humu kasheshe
The Boss said: Nimeshindwa kusoma yote ila nimejiuliza why mtu unaonekana smart hadi kuandika details na tarehe kabbisa ushindwe kufanya maamuzi rahisikabisa? why mwanaume eti useme 'umenasa' huku unaona kuna hatari kubwa ya kutatuliwa marinda au hata kuuwawa mbele yako? unless hii story fake basi una 'moyo wa kike sana' Click to expand... Ndefu sana Nmeishia pale nmemaliza form six 2015..watoto walojaa humu kasheshe
INSIDER MAN JF-Expert Member Nov 7, 2018 1,738 15,869 Sep 23, 2019 #63 LadyRed said: Ndefu sana Nmeishia pale nmemaliza form six 2015..watoto walojaa humu kasheshe Click to expand... Miaka 24 mtoto?? You can't be siriaz
LadyRed said: Ndefu sana Nmeishia pale nmemaliza form six 2015..watoto walojaa humu kasheshe Click to expand... Miaka 24 mtoto?? You can't be siriaz
luckyline JF-Expert Member Aug 29, 2014 15,023 21,268 Sep 23, 2019 #64 Mchumba wa mtu huyo? Najua shetani atasingiziwa. Anyway Huyo Dada dawa yake inachemka, akakumbuka alishachelewa, hivi anajuwa dhamani ya Mme kukutolea mahari, kaavha wangap?
Mchumba wa mtu huyo? Najua shetani atasingiziwa. Anyway Huyo Dada dawa yake inachemka, akakumbuka alishachelewa, hivi anajuwa dhamani ya Mme kukutolea mahari, kaavha wangap?
Mika_Graphix JF-Expert Member May 21, 2021 401 1,281 Sep 27, 2021 #66 chuma cha mjerumani said: naunga mkono hoja. Click to expand... 😂😂
mweusi asili JF-Expert Member Nov 11, 2014 2,035 3,349 Sep 27, 2021 #68 Hii picha ya kihindi kama sio chai bila sukari
M S A B Y P H JF-Expert Member Sep 16, 2021 1,792 3,666 Sep 27, 2021 #69 Tujifunze kutumia lugha moja kwa ufasaha kurahisisha uelevu wa stori