Hii nimeipenda sana! Nitashukuru anifikirie maana kulalamika hivi nayeye ananyamaza eti! Lisa mtoto mzuri niangalie mimi Wiyelele!
Amewaamsha real dogs lol
i bet uko pm huko Mau lol
Lisa
this is complicating matters for no good reason, Hao akina mtambuzi hakuna lolote watakachosaidia zaidi ya kumuwekea vikwazo, mfanyie wepesi mwenzio, haya mambo hayahitaji ushauri ni kufanyia maamuzi hisia zenu, binafsi sina shaka na hisia zake kwako, unapoona mtu mzima anaandika jina la mwanamke in bold na la kwakwe mwenyewe halibold ujue kachanganyikiwa, hajiwezi juu yako. Hapa ni rehema zako pekee zinahitajika, okoa nafsi hii tafadhali.
Ni kama unasema married but available au sijaelewa?
Unajua The boss, si kila anayeandika hapa kitu anamaanisha, mm nilivyomwelewa ni kwamba kaamua kunisifia tu lakini hakuna kinachoendelea, na ndiyo maana na mimi nikamuelekeza kwa akina wazee wa JF ili wamuelekeze njia.(Ninamaanisha ana Joke)
Na kama kweli anamaanisha , Mhhhhhhhhhhhh!!!! ..............??/
Amewaamsha real dogs lol
i bet uko pm huko Mau lol
Unajua The boss, si kila anayeandika hapa kitu anamaanisha, mm nilivyomwelewa ni kwamba kaamua kunisifia tu lakini hakuna kinachoendelea, na ndiyo maana na mimi nikamuelekeza kwa akina wazee wa JF ili wamuelekeze njia.(Ninamaanisha ana Joke)
Na kama kweli anamaanisha , Mhhhhhhhhhhhh!!!! ..............??/
Unajua The boss, si kila anayeandika hapa kitu anamaanisha, mm nilivyomwelewa ni kwamba kaamua kunisifia tu lakini hakuna kinachoendelea, na ndiyo maana na mimi nikamuelekeza kwa akina wazee wa JF ili wamuelekeze njia.(Ninamaanisha ana Joke)
Na kama kweli anamaanisha , Mhhhhhhhhhhhh!!!! ..............??/
Hii nimeipenda sana! Nitashukuru anifikirie maana kulalamika hivi nayeye ananyamaza eti! Lisa mtoto mzuri niangalie mimi Wiyelele!
lol...Nilikuwa nawajibika chief
I am trying to train these little puppies hoping that they will become killer dogs some day, its nothing but brotherly love.
Ni kama unasema married but available au sijaelewa?
Na mimi itabidi nipate hizo dakika arobaini basi
ili nione kinachosifiwa..
au mimi nna gundu?sipewi dakika arobaini?
hakuna chochote kapenda tu kunisifia , kama unavyoweza msifia mtu mwingine, lakini sidhani kama atakuwa na ubaya wowote.

Sijakuelewa ?????????????????????????????? unamanisha nini embu zungumza ueleweke
Wiyelele una vituko sana wewe!!!! sikutegemea kama utakuja anzisha thread hapa Loh! ningejua ningekukatalia kuwa mm si Lisa, Ila usipate shida sana Onana na Mtambuzi, Asprin, Kaizer, Babu Dc watakuelewesha ni jinsi gani ya kufanya ili uweze kunipata, na kwa upande wa wanawake a kwanza Maddame B, kapipi, mamndenyi, gfsonwin, Lara kubwa la maadui. na wengine sikuweza kuwataja. ukiwaona hao aaaaaahhhhhhhhh mambo yako yatakuwa shwariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!
inawezekana kuna sehemu unakosea ndiyo maana hupati Dk 40, embu ulizia wenzio nn cha kufanya ili upate hizo Dk.
Ni kama unasema married but available au sijaelewa?
Is this a chalenge unanipa?
Huwa siulizi mtu litu
nakwenda kwa sheria zangu mwenyewe..