Nimemzimia Lisa...

Weeeeeeeeeeeeeeeee!!! Wiyelele usiseme hivyo, namuomba Mungu kila siku ndoa yangu isiwe na migogoro, na nampenda Mume wangu, so nakuomba usiombee hayo Pls, kama unanijali. Nakushauri wewe mpende tu mkeo atabadilika siku moja.

hahahaha usijali Lisa, nakuombea ndoa yako idumu. Nimetolea mfano tu ili watu waelewe nilivyokuzimia.
 
::
Lisa aaaaaaa!
Ha ha haaa
mmmmm! Kumbee
=
 
Last edited by a moderator:

Wamweleweshe atakavyokupata kivipi? acha roho mbaya, huyo ni mtoto wa mwanamke mwenzio, unaona raha gani anapolalamika namna hiyo kwa ajiri yako, mpatie anachokitaka.
 
Wamweleweshe atakavyokupata kivipi? acha roho mbaya, huyo ni mtoto wa mwanamke mwenzio, unaona raha gani anapolalamika namna hiyo kwa ajiri yako, mpatie anachokitaka.

Hajanyimwa nimeshamweleza nini afanye ili aweze kunipata, akimalizana na hao mambo yake yatakuwa shwariiiiiiiiii!!!! LAZIMA AWAONE WAZEE WA JF, AKINA MTAMBUZI WAMPOKEE NA WAMUONYESHE NJIA, LA SIVYO HAWEZI KUNIPATA
 
Wamweleweshe atakavyokupata kivipi? acha roho mbaya, huyo ni mtoto wa mwanamke mwenzio, unaona raha gani anapolalamika namna hiyo kwa ajiri yako, mpatie anachokitaka.

Hii nimeipenda sana! Nitashukuru anifikirie maana kulalamika hivi nayeye ananyamaza eti! Lisa mtoto mzuri niangalie mimi Wiyelele!
 

Ni kama unasema married but available au sijaelewa?
 

umemuanzishia thread mke wa mtu?
 
Hajanyimwa nimeshamweleza nini afanye ili aweze kunipata, akimalizana na hao mambo yake yatakuwa shwariiiiiiiiii!!!! LAZIMA AWAONE WAZEE WA JF, AKINA MTAMBUZI WAMPOKEE NA WAMUONYESHE NJIA, LA SIVYO HAWEZI KUNIPATA

Lisa
this is complicating matters for no good reason, Hao akina mtambuzi hakuna lolote watakachosaidia zaidi ya kumuwekea vikwazo, mfanyie wepesi mwenzio, haya mambo hayahitaji ushauri ni kufanyia maamuzi hisia zenu, binafsi sina shaka na hisia zake kwako, unapoona mtu mzima anaandika jina la mwanamke in bold na la kwake mwenyewe halibold ujue kachanganyikiwa, hajiwezi juu yako. Hapa ni rehema zako pekee zinahitajika, okoa nafsi hii tafadhali.
 
Uneniable , kwa nn unasema hivyo? yeye kanisifia tu , ila sidhani kama atakuwa anamaanisha vingine, Au????????

of koz moyo wangu mie ni msitu mkubwa sana, akili yangu pia ni msitu mnene pia, japo vyote ni vyangu lakini mara nyingine nashindwa hata kuvielewa nini kimo ndani nini nakiwaza! hata yeye pia siwezi jua katu nini kipo moyoni mwake nini kipo akilini mwake kuhusu wewe! ila ameonyesha anakupenda hadi kasema mke anae ila hana sifa km zako wewe Lisa hiki ndicho nikifahamucho!

copied to: Wiyelele
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…