caven dish
Senior Member
- Sep 12, 2011
- 124
- 86
Mzee mengine nimeona niyaache kwanza ila hili nitalijibu hapa ingawa si mahala pake, kwa bahati mbaya hapa hatujuani kwa majina ila niamini ninapokuambia nimepata bahati ya kuishi sehemu nyingi duniani kwa vipindi tofauti tofauti, nimeishi karibu mabara yote ya dunia tena nikiwa na bahati ya kushuhudia mabadiliko makubwa makubwa makubwa.
Nimeishi wakati sheria za ubaguzi zinaishia ishia Marekani, nimeishi wakati Russia ikiwa ni taifa kubwa, nimeishi ujerumani wakati ukuta wa Berlin ukianguka na pia nilikuwa Rwanda wakati Genocide inalipuka, nime save Bosnia kama askari wa kulinda amani na nilikuwa volunteer wa uchaguzi juzi wakati Bingu wa Mutharika wa Malawi aningia madarakani kwa matumaini makubwa.
Niamini ninapokuambia hakuna system iliyokamilika duniani na hakuna mwenye suluhisho la matatizo yoote ya mwanadamu in one package, so misimamo yangu ya kisiasa haina uhusiano kabisa na suluhu ya maisha bora kwa kila mtu. Siamini na sitegemei kuona jamii inayoishi kama peponi, kwa bahati mbaya sana pia mimi ni mjamaa hivyo naamini katika misuguano katika jamii na matabaka yanayo sababishwa na ukomo wa resources.
Nitampinga na kumdharau kila mwanasiasa anayewahadaa watu kuwa yeye ni mtume mwenye suluhu ya matatizo ya watu. Hii ni falsa yangu na ndio inayoniongoza katika misimamo yangu yangu.
Namuonea huruma huyo mwanamke
anaonesha hajui to pick the right guys for her..
Mumewe ni mshamba kwa kuita watu kuja kuongea hiyo ishu..
Na wewe nae umemfanya ajute kwa kukusaidia.....
Kwa hiyo pamoja na exposure kama hiyo bado unafanya maamuzi au kuongea vile kama vile? Kama wewe ni askari wa kulinda amani kwa maamuzi kama hayo utakuwa unakiuza kikosi chako kwa adui. Seruously. Sheria za ubaguzi ziliisha lini Marekani??? Tuyaache hayo. Jibu lile swali lingine. Kwa nini ulidhani atakuhaibisha au kukudhalilisha?
<br />Shantel wanaume tumeumbwa na kitu inaitwa PRIDE nadhani hii ndio chanzo.
mme wangu hayumo kwenye hilo kundi,kwanza asingeenda kwenye meeting place.Agezuga anasafari.ukweli si hakuna mahusiano batili?ss akameet ili iweje
<br />I wish ungejua complexity ya hiyo kitu unayoita 'kucontrol hasira'
i knw how complex it is...nilikuwa nakasirika hata m2 akipiga honi barabarani, nimevunja vunja vi2 vya thaman na mara kadhaa nilipona kupelekwa police kwa kuwashambulia watu kwa kunitania kidogo tu bt thanx to God now unaweza hata kunizaba vibao na nisikasirike! U can do it ukiamua...
Mkuu nimezaliwa mwaka 1969, na siku sema sheria za ubaguzi zimeisha, ila zinaishia ishia, hapa nilikuwa namaanisha ule ubaguzi wa Jim Crow laws ulipokuwa unaishia. Kama unakumbuka historia sheria ya civil act ya 1964 na voting right ya mwaka 1965 ndizo hasa zina mark kuishia ishia kwa ubaguzi, kwa maana hiyo wamerakani wengi weusi walianza kupiga kura baada ya mimi kuzaliwa. Hayo ya kuuza wenzangu hapo ninakiri sikuwa rational sana nilipo tamaka maneno hayo.
Nimeeleza kulikuwa na mawasiliano kabla kati yake na familia yangu na ile shutuma kama ninatembea na mke wake alikwisha itoa, kwangu mimi niliona ingekuwa ni jambo la busara yeye kuzumza na mimi na mke wangu lakini kutoa hizi shutuma mbele ya watu wengine tena ninaofanya nao kazi ni kutaka kunidhalilisha.
Nimekupata. Labda uwatumie hao hao unaofanya nao kazi wakamweleze jamaa ukweli wenyewe? Maana ukienda wewe mwenyewe si anaweza akakututoa nduki? Ila hii imekaa vibaya. It could go either way. Au mtafute mtu toka dini yako (shehe au mchungaji).