caven dish
Senior Member
- Sep 12, 2011
- 124
- 86
Mkuu ni kweli umekosea na jambo moja zuri na wewe umelitambua hilo. Ujue umeumiza feelings za hao wana ndoa - nina uhakika kwa sasa hakuna maelewano, chakufanya hapa waite mbele ya mke wako ujaribu kuwaelewesha na uwaombe msamaha. Fikiria hii ingetokea kwako je?