Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
Binafsi sijapenda hii post kuileta mtandaoni
ndoto mizinguo Sana
Juzi nimeota napokonywa simu na kibaka, naomba msaada sisaidiwi
Kuna raia humu wanasema ndoto ni za kweli kwa hiyo jiande kupigwa roba🤣🤣🤣ndoto mizinguo Sana
Juzi nimeota napokonywa simu na kibaka, naomba msaada sisaidiwi
Mtamba wa Panya, Sawa mkuu Asante kwaushauri wako ila huyo wahapo juu kanitisha sana kunambia kuwa nitapata maradhi
Mmmhh jamaniiiiMama yako hakufariki bali alichukuliwa kichawi ila kwa ndoto hiyo bas ndo kafariki sasa ile kiukweli ukweli
RIP mama yake na mleta mada
HahahaMama yako hakufariki bali alichukuliwa kichawi ila kwa ndoto hiyo bas ndo kafariki sasa ile kiukweli ukweli
RIP mama yake na mleta mada
Waafrika bwana dahKuna jambo moja lazima ulielewe; Kumuota mtu aloyekwisha fariki na mkazungumza naye mkajibizana maneno flani flani ni ishara kuwa, Utapatwa na ugonjwa mbaya sana siku za karibuni. Ikirudia tena ni kukuonesha kuwa huo ugonjwa hautachelewa kukujia.
Ukiota wamefanya sherehe yako ni ajali inakupata.
Hii ndoto yako sio nzuri sana kwani inaonesha soon utaparwa na ugonjwa mbaya sana. Ile furaha yako itageuka kuwa huzuni nyingi. Pole sana
Amen...Kwanza nikupe ovyo; USIPENDE KUANIKA NDOTO ZAKO PUBLICLY KAMA MITANDAONI
UFANYE NINI: Kuna watu wanaelimu ya ndoto kawaulize
Huku mitandaoni kuna "mizwazwa" mingi inayojifanya inajua kila kitu. Kama hao walio comment Hapo juu, ni wazi hawana elimu yoyote ya Ndoto:
Kwa kifupi tu: Jiandae na mafanikio katika mambo yako yote/baadhi yaliyokuwa yamekwama. Hii inategemea na furaha/uchangamfu uliomuona nao mama yako kwenye ndoto hiyo.
Hakuna ndoto nzuri katika maisha ya mwanadamu kama kuota wazazi wake.. hasa hasa mama yake mzazi akiwa na furaha.
Ukiota kuna uadui unakufuata mfano nyoka mweusi halafu hapohapo ukamuota mama yako mzazi , maana yake huo uadui hautofanya kazi. Haimaanishi mama yako ni mchawi! Lahasha!
Kama mambo yalikuwa magumu ukamuota mama yako mzazi, ni dalili ya kufunguka mambo yako na kuanzia hapo yatakuwa mepesi..
All this is created by your subconscious mind... your mother will always have a special place in your soul...
Kumuota mama yako aliyefariki haimaanishi alichukuliwa na wachawi, hiki nikichekesho kikubwa
Kweli waafrica ni balaa kwani hujiotesha mandoto yao. Tuseme hapo umemsaidia nini sasa??Waafrika bwana dah