huyu mwanamke nilimwambia wewe ni mke wa mtu mimi ni mume wa mtu hivyo penzi letu ni siri sawa ,na tukakubaliana kwamba dhumuni la penzi letu ni kufarijiana kwakuwa kila mmoja anaweza akawa amekwazika/anakwazika kwenye ndoa yake kwa namna moja au nyingine SAWA tumeanza safari week ya kwanza week ya pili nachungulia watsup ameweka picha yangu, nikamvutia waya nikamwambia oyo vipi tena mambo gani hayo akasema naitoa,kuchungulia katoa ile picha kaweka picha yangu nyingine,nikamwambia usinijue tena sitaki urafiki na wewe,basi mpaka saivi nina missed calls zake 65 hapa na msg zaidi ya 30