Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 632
Nilimtongoza dada mmoja akanikubalia kwa sharti la kwamba atanipa mchezo akinizoea lakini baadae akaanza kuniambia ana bikra, kusikia hivyo nikampiga chini fasta sipendagi ujinga mimi. Nimeshakutana na wanawake wengi wanaojifanya bikra unahangaika nae wewee unamuhudumia kwa kuamini mwishoni utapasua kioo lakini unakuja kukutana na pango la walanguzi. Sasaivi demu akiniambia ana bikra namwambia nenda waitoe kwanza halafu uje tuendelee. Bikra za mjini utapeli tu