Nimemtongoza kimada wa boss

Ndugu yangu kuchekewa kirafiki ukaimeza ndoano? mwenzio alikuwa anataka aonekane mwaminifu kwa boss akakutoa kafara sasa mambo yake mazuri ndio mdau kauliza huku google?
 

ebu kuwa na adabu ulitaka kula sahani moja na baba yako?
 
Ngoja uje uongeze idadi ya unemployed
 
Mtu mko ofisi moja unashindwa kusema naye mpaka kwa SMS?

Kazi za watu hizi jamani.
 
Wanawake wengine wakiwa na mahusiano na wakubwa wao wa kazi wanahisi nao ni wakubwa pia. Alitafuta sifa hapo ili aonekane anajali, na kujisahau kwamba yeye ni mwizi pia. Kama kapata kazi kwa njia ya mapenzi basi ajue huyo mkubwa wake wa kazi ataajiri mwingine kama yeye kwa njia hiyo hiyo, sijui atasemea wapi.
 
akili ya huyo dada ziko nusu afu ni mshamba eti kwamba amemuonesha uyo babu yake sijui ba mkubwa msg ili ajue kuna watu wanamtongoza sana au? na wewe mpige bit aache umalaya

Alitaka kumuonyesha BOSS kuwa yeye anatongozwa sana. huyo ni limbukeni ndio mana anaweweseka kutongozwa Arrrghhhhhhhh!
 
Pole sana mkuu. Huna cha kujilaumu. Umetumia fursa kikamilifu. Hayo mengine ni matokeo tu. Kula ganzi endelea na maisha ya kazi kwa uadilifu.
 
kama amekupenda ilikuwaje akamuonesha bosi sms zako ulizomtumia?
 
Nilivyo vikataa katika mahusiano ni kuwa na mahusiano mahala pa kazi na ninapoishi. Kwakufanya hivyo kazini na ninapoishi ninaheshima na kuheshimiwa sana.
 
Huyo dada nae hamnazo kama alikua hakutaki hakuwa na sababu ya kuonyesha sms zako kwa uyo mchuchu wake angekwambia kweli kuwa bosi kubwa ameshawahi. hakuwa na sababu ya kumuonyesha. uwo ni ushamba tu.

Alikuwa anataka kumuonyesha bonge la bwana kuwa yeye hachepuki wakati yeye ndiyo kafanywa mchepuko sasa...!!
 
mkuu sasa itakuwaje hapo au ndo kibarua kimeota nyasi hivyo
 
Watu wengine bora umwibie hela. Muulize prof. Mahalu au akina Nguza.
 
tatizo lako ni uoga wa kutongoza live, ona sasa na ushahidi upo.....mchomeshe huyo mchepuko kwa bi mkubwa (mke wa boss), halafu acha kazi kabisaaa...... hapatakalika hapo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…