Ukisema hivi nakumbuka kitabu kimoja kinaitwa No more Mr nice guy. Hiki ni balaa kama wewe ni muumini sana utaona jamaa anakufundisha roho mbaya. Ila ndy anakufundisha maisha.Unaonekana ni Mwanaume dhaifu sana,ulijishusha sana kwa huyo mwanamke mpaka akakudharau,hukumuonyesha confidence ya kiume,ulikua unamfuata fuata sana na kumjali sana mpaka akakuona kua wewe huna thamani kwake,
Ndio maana watu husema wanawake hupenda Bad guys,Mwanamke usimuonyeshe kua unampenda sana au kumjali sana,au huwezi kumuacha,hapo lazima akudharau na kukushusha thamani,
Huyo Mwanamke achana nae,endelea na maisha yako,hata ikitokea akakurudia,usimpokee,ukifanya kosa la kumpokea tena basi huko mbeleni jiandae kwa maumivu makali zaidi ya haya.
Be strong,kaza kiume.
Ndiyo mnafundisha wadogo zenu huu upumbavu wenuUlijaribu kutuma muamala😹😹
Pole hahupo mwenyewe tupo wengi , kikubwa tusikate tamaa .Hello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine sio mapenzi. Sasa juzi nikamtumia meseji ya kumtakia wakati mwema kuniblock WhatsApp.
Dah imeniuma sana
My reply was inform of a question not an advice to someone SirNdiyo mnafundisha wadogo zenu huu upumbavu wenu
Kwani anajiuza ili atumiwe muhamala
Fanya kama unafanya kweli kumbe unafanya kweliHahahaaaaaa hatari
Ok sawaMy reply was inform of a question not an advice to someone Sir
Wewe siyo mwanaume unaumia mwanamke tu 🤣 🤣 🤣 kukublockHello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine sio mapenzi. Sasa juzi nikamtumia meseji ya kumtakia wakati mwema kuniblock WhatsApp.
Dah imeniuma sana
Hebu dondosha softcopy ya hicho kitabu mzee tunufaike woteUkisema hivi nakumbuka kitabu kimoja kinaitwa No more Mr nice guy. Hiki ni balaa kama wewe ni muumini sana utaona jamaa anakufundisha roho mbaya. Ila ndy anakufundisha maisha.