Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

Usimtafute na jikaze maana inaonekana uko desperate Sana na huyo bi dada, unavyozidi kuchanganyikiwa juu Yake ndivyo unazidi kupoteza ww binafsi, mwanamke wa hivyo sio wa kukutia stress kabisa...Hujui historia Yake ya Mahusiano alipitia nini au Hujui anakuonaje ama bado hujafika bei. So Kwa kuwa umeshachafua Hali ya hewa usianze kuwasiliana nae kabisa Kwa Njia yyte Ile...Ukiendelea kuchanganyikiwa juu Yake utakuwa mwendawazimu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…