chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,164
- 2,416
Kivipi sasa mkuu?Mungu nifundishe kunyamaza
HapanaUlijaribu kutuma muamala😹😹
Mbinu ya kupindua mezaUnataka ushauri, pole au nn masta?
Weka picha zenu tuone nani mwenye tatizo hapoHapana
Yeye ni pisi kali, mimi niko kawaida sanaWeka picha zenu tuone nani mwenye tatizo hapo
Nikutumie?Kwahyo ikawaje sasa, umefuta no yake au bado unayo?
Weka sasaYeye ni pisi kali, mimi niko kawaida sana
Subiri zamu yako mkuu hapo umewekwa pending akizinguana na jamaa yake atakuchekiHello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine sio mapenzi. Sasa juzi nikamtumia meseji ya kumtakia wakati mwema kuniblock WhatsApp.
Dah imeniuma sana
Sasampa, wanapenda mlungula hao akati baba zao fukara tu.. kama una ka Salio tuma 30k weekend hii af uchune... Utaona txt "Hi Chama"Mbinu ya kupindua meza