The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Kwahiyo umekichukuliaje hicho kitendo kwa maana kwamba kinafaa kuigwa au hakifai kuigwa?
kama mtanzania umefikia hivyo unajitoa utanzania ni hatari sana
hujatenda ubinaadam siasa siyo chuki.dada akiwa ccm wewe cdm pendaneni na mshindane kwa hoja chuki na kuona mwenzio hafai kupenda kile anachoamini ni ufinyu wa akili.
vijana tunafanya siasa zisizo na tija kwa taifa letu.leo wewe umemtimua kwasababu kavaa kijani kesho wewe unaweza ukatumbukia kwenye hicho kisima na wakukusaidia ni huyo jirani yako badilika.
Hiyo sio siasa ni chuki