Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna wakati wanaume tunapitia vipindi vigumu sana
Hii ndoa haina maisha walahii..tena ukute binti mzaramo anaishi kwaoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona analetwa na kigodoro kwako
 
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
Inawezekana unabambikiwa kuwa makini
 
Hii ndoa haina maisha walahii..tena ukute binti mzaramo anaishi kwaoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona analetwa na kigodoro kwako
Bahati mbaya unakuta kamchepuko hakaeleweki kabisa ulikua unapoza njaa tu yaani kila mtu akisikia anakushangaa uliendaje! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bahati mbaya unakuta kamchepuko hakaeleweki kabisa ulikua unapoza njaa tu yaani kila mtu akisikia anakushangaa uliendaje! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani alafu ukichepuka na kimwanamke kibaya kuliko mkeo mkeo anakudharau sana anaweza hata asikusamehee...Chepuka na kisuu uonee yani ataliaa lakini anakusamehee..[emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days

Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje
Huyo Sio Mchepuko Bhana. Mpaka Unafatilia SKU Zake? Yaani Unamfahamu Kama Mkeo.

Kitanda Hakizai Haramu Mkuu, Kubali Matokeo Tu. Anaeza Kuja Kuwa MTU Muhimu Katika Maisha Yako!
 
Ukizaa na mchepuko hakikisha una fungu la kutosha ili usiharibu ndoa yako
 
Hongera Baba kijacho. Ungetumia ndom uzi hakuna. Maandalizi ya mahitaji muhimu ya kijacho yanakuhusu.

 
Aaah jiandae kulea tu, usitende dhambi ya kuua maana utahukumiwa
 
Cha msingi mweke wazi mkeo licha ya mtiti lakini yataisha tu.
Mimi sokushawishi kutoa
subir azae ..mtunze...mtoto akishazaliwa mueleze mkeo....au mueleze mkeo ...siku yeye akija kumueleza tayari "HABARI ZAKE NINAZO"
what if wewe ni mume wangu afu sijui id yako huku jf
hahhaha aisee usije nieleza hii habari
kaa nalo pekee yako
Mama Yeyo Hujui Kuwa Kitanda Hakizai Haramu?
Mimba Ishanasa Apambane Na Hali Yake Bhana
 
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days

Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje
Wengine vizazi vyao vipo karibu Kama wadada wa kazi
 
Okay. Kwanza relax. Mwambie asikusumbue upo na mke. Mwache mtoto azaliwe
 
Mmh ila wana jf kama vile ni wachawi hivi wwngine , πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ulijuaje kama likizo ya wife ilikua ni ya week moja tu

Daah salute kwenu
Hahahahaha usikute mwenye id hii anajuana na huyo mchepuko wako
 
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days

Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mkuu unashangaa iliingiaje akati uliiingiza dyudyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] sema wewe ikataee tu mtakutana mbele kwa mbelee maana ndoa yako inavunjikaa
 
Noma sana mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani alafu ukichepuka na kimwanamke kibaya kuliko mkeo mkeo anakudharau sana anaweza hata asikusamehee...Chepuka na kisuu uonee yani ataliaa lakini anakusamehee..[emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mzee mwenzetu hapa anashida sana!
Masaa ya hii ndoa yanahesabika kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee mwenzetu hapa anashida sana!
Masaa ya hii ndoa yanahesabika kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani mwana ana hali mbaya sanaa
 
Na Kama mzunguko Ni siku 33,34 au 35???
 
Haya mambo yasikie tu mkuu jamaa sasa hivi atakua anailaumu hata dyudyu kwanini ilisimama siku hiyo
 
Kuna mshijaki humu alimpaga demu mimba afu alikuwa hana mpango nae na demu akamgandaa balaa... mwana ikafika point akatamani hataa amuue ili aishi kwa amanii..
 
Naamini leo unazilaani sana nyege mshindo. Mjitahidi kuomba ushauri mapema kabla ya kuharibu, ww ulipoenda kutia kavu na ulijijua una mke ulitarajia nini.. Usawa ulivyo mgumu huu kupata m'ume alafu ww mwenyew ukajipeleka jiandae kuwa mateka wake. Huyo hakuachi ndio kashajipatia hapo alikuwa anakucheki tu ulivyokuwa unafurahia kumwagia ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…