Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

ana miez mingap
 
[emoji2961]
 
Msimhukumu mtoto kwa uzembe wenu wa kutokuvaa kinga!

Naye pia ana haki ya kuishi!
 
Unashangaa nn wewe? Kwani alikushikia Bunduki Umkojolee? Si ww mwenyewe umeponzwa na Miny*** yako! Umevuna ulichopanda usijifanye kuchanganyikiwa wala kumlaumu Dada wa watu wakati ulitaka mwenyewe.
Duuu! Mwanamke una maneno ya kuntu, punguza ukali wa maneno. Isije kuwa mtoa mada ni mumeo. Tumia lugha za faraja kwa mwenzako.
 
Si huridhiki na mwanamke mmoja.?
Bana pumbu ujiandae kulea familia mbili
Hio ndo haki ya kutaka uwe na wanawake wawili
 
Baby cheers to this..
 
Jisalimishe kwa wifeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…