colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,929
- Thread starter
-
- #61
Mmh ila wana jf kama vile ni wachawi hivi wwngine , 😀 😀 😀 😀 ulijuaje kama likizo ya wife ilikua ni ya week moja tuSasa Mkuu ulitegemea nikushauri nin? Km likizo ya weak moja tu kwa mkeo ushatia mimba akienda mwezi si atakuta umefanya vikao vya harusi na umefunga ndoa mpya ungekua wew ndio umesafir ukakuta mkeo anamimba ungemuacha ndan? Na kumshauri atoe au??? Munaangaika Sana TULIENI KWENYE NDOA ZENU sasa huu ni mwaka wako wa aibu na wengine km wew wajifunze.
Aaah wewe tabia yako mbaya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Akome tu kwann asitulie na mke wake
Hehehjaman mimba inaingiaga mtu akivaa ndom ? was this a question or a statement ?
Salute kwako pia pole Sana mkuu najua uko njia panda.Mmh ila wana jf kama vile ni wachawi hivi wwngine , 😀 😀 😀 😀 ulijuaje kama likizo ya wife ilikua ni ya week moja tu
Daah salute kwenu
Asnte mkuuSalute kwako pia pole Sana mkuu najua uko njia panda.
Hujaelewa swali langu bro..Nimemuuliza KWANINI alipiga peku sio KAMA alipiga peku..Najua alipiga peku ndo nikamuuliza hakufikiria before kama haya yanaweza kutokea..
Sure na lazima ipatikane mkuuAsnte mkuu
I will find a way tu
There must be a way
Nilishamfanyia HIV screeningHicho ndo ulikuwa unatafuta sasa umekipata tulia, tangu lini mchepuko unaenda peku?
Pole, tifu la home naamini litakuwa ni la heavy weightNilishamfanyia HIV screening
Nilikua nina 98 % sure kwamba yupo kwenye safe days
Sasa hapo niliona hakuna haja ya kula ndizi na ganda lake mkuu
I was totally wrong
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
[emoji444]oya Jibebebee, [emoji444]Asa Jibebebee [emoji444] Si ujibebebeeKama kichwa cha habar hapo juu,
Few weeks hivi nyuma nilipata kamchepuko na kwa bahat wife hakuwepo basi nikapanga kumeet nae. Siku ikafika nikapiga show mpaka kuchee
Baada ya siku chache mchepuko unaniambia umenasa mimba yangu. Nikasema isiwe shida kwa vile sio dent ingawa anaishi home kwao na wazazi nikasema ngoja nije kuhakikisha kwanza
Baada ya kuja nikapima kweli kitu ni positive nikawa relaxed ili asisome my emotional ili nimconvice ki siasa atoe ila daaah aisee
Demu kakataa kata kata anasema yee hawezi kutoa katu. Ubaya anajua kama nimeoa na anapajua hadi ninapoishi
Sasa hivi ananipa vitisho lukuki maara ooh usiniambie kabisa kuhusu kutoa tusije kufikishana mbali mara nitakuja sku moja kuonana na mrs wako ajue kuna mwenzake yaan daah akili yangu imechoka
Kweli michepuko kokoto ni balaaa hapa pozi lote limeniishia natamani hata muda urudi nyuma
Naomba wale waliokutana na situation kama hii hemu nipeni ushauri kidogo mliikwepaje huu mkasa
Muwekee dawa za Kutoa mimba kwenye chakula.. Imeisha Iyo
Hili ndio la msingi.
Mwanamke ukimletea mtoto wa nje, atabwabwajaaaaa mwisho wa siku atatulia.
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days
Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo
Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah
Kweli kifo cha nyani
We all know kuna baadhi ya makabila ni makorofi sna
Kuzaa na mtu wa kabila hilo ni kujiongezea matatizo kila uchao
Kalenda hufanya kazi vizuri sana kwa mtu ambaye hali zake zote ziko vizuri yaani afya ya mwili, akili, lishe na hali ya hewa. Lakini pia inabidi ujue anamzunguko wa siku ngapi. Kama mzunguko wake ni chini ya siku 27 au 28 njia ya kalenda daima huwa ni batili.Nilikua nina 98 % sure kwamba yupo kwenye safe days