Aisee kaka unatoa ushauri wa kikatili kiasi hikikumbe uko naye muda mrefu mpaka umeujua mzunguko wake wa mwezi?
hapo umelikoroga, kata mawasiliano mwambie huhusiki unasubiri DNA
au kubali lipasuke tu kwa wife na wewe mruke yaani kuanzia sasa usimfuate tene likisanuka mwambie wife huyo mdada si size yako
nishapata woga aisee hahahaHaha mumeo anafanya gazi sekta gn mkuu 😛 😛 😛 😛
Offcoz apambane sasa na hiyo changamoto kama kutulia kugumuTeh teh..Kutulia ni kipaji...We chepuka tu ila jua changamoto zake ni jinsi ya kuzikabiri..
Btw nimekumiss
Kama baba mtarajiwa una mawazo kama haya naamini hata mtoto akizaliwa hutokuwa na upendo nae.We all know kuna baadhi ya makabila ni makorofi sna
Kuzaa na mtu wa kabila hilo ni kujiongezea matatizo kila uchao
Sijakuelewa mkuu
Kwa hiyo ulibeba mkaa ila moyoni ulijua kuwa umebeba karanga?We all know kuna baadhi ya makabila ni makorofi sna
Kuzaa na mtu wa kabila hilo ni kujiongezea matatizo kila uchao
Bahati mbaya bhana..[emoji16][emoji16]Akome tu kwann asitulie na mke wake
Mkuu hapa ndo umefikia kweli uwezo wako wa mwisho wa kunishauriBrother apandacho mtu ndicho avunacho kumbuka ulifanya kazi kwa bidii ukalima mpka jasho likatoka mda wa mavuno umekaribia unataka kuchoma shamba uunguze mazao,aiwezekani huo ni mzigo wako PAMBANA tu.
Kumbuka kipimo cha mimba kusoma haimaanishi wewe ndio muhusika.Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah
Tatizo mnaendekeza michepukoBahati mbaya bhana..[emoji16][emoji16]
But ndo nishakua scape goat sasa mkuuKumbuka kipimo cha mimba kusoma haimaanishi wewe ndio muhusika.
Hi imetokeaa hakupanga Kama matokeo yatakuwa hivo, Ni ajali Kama kujikwaa tuuTatizo mnaendekeza michepuko
Hujaelewa swali langu bro..Nimemuuliza KWANINI alipiga peku sio KAMA alipiga peku..Najua alipiga peku ndo nikamuuliza hakufikiria before kama haya yanaweza kutokea..mkuu umenishangaza kuuliza kama alivaa condom, huyo ni mwanachama wa kavukavu aisee mimba haiwez ingia na condom hata siku moja labda ipasuke kabla ya kukojoa
Ntakuja..UsicheleweOffcoz apambane sasa na hiyo changamoto kama kutulia kugumu
Miss you too..ukuje badae
Yaan kama ulimuona vile aargg sisi wanaume sjui nani katulogaNa bahati mbaya awe si mzuri kufananisha na mkeo
Sasa Mkuu ulitegemea nikushauri nin? Km likizo ya weak moja tu kwa mkeo ushatia mimba akienda mwezi si atakuta umefanya vikao vya harusi na umefunga ndoa mpya ungekua wew ndio umesafir ukakuta mkeo anamimba ungemuacha ndan? Na kumshauri atoe au??? Munaangaika Sana TULIENI KWENYE NDOA ZENU sasa huu ni mwaka wako wa aibu na wengine km wew wajifunze.Mkuu hapa ndo umefikia kweli uwezo wako wa mwisho wa kunishauri
Just u have to dig so fuckn deep to find the gold
Try ur best i know u can