Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

Ivi kabila gani Ni zuri na Kabila gani Ni baya?.
Tuache huu ubaguzi kumbe hata huyo unaemuita mchepuko ulikuwa unangononae moyoni unamngo'ng'a? Hiyo ni tabia mbaya ndugu yangu.
We all know kuna baadhi ya makabila ni makorofi sna

Kuzaa na mtu wa kabila hilo ni kujiongezea matatizo kila uchao
 
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
kumbe uko naye muda mrefu mpaka umeujua mzunguko wake wa mwezi?
hapo umelikoroga, kata mawasiliano mwambie huhusiki unasubiri DNA
au kubali lipasuke tu kwa wife na wewe mruke yaani kuanzia sasa usimfuate tene likisanuka mwambie wife huyo mdada si size yako
 
Hata , mm nimewaza hivi mkuu ila khaa ! Ananipa vitisho sio vya inchi hii

Ubaya anapajua ninapoishi hilo ndo kosa kubwa nimefanya
 
Kutoa mimba ni UUAJI; wauaji hawatamuona Mungu. Hayo ni matokeo ya DHAMBI. Mkiri Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yako UOKOKE upate uwezo wa kushinda dhambi.
 
subir azae ..mtunze...mtoto akishazaliwa mueleze mkeo....au mueleze mkeo ...siku yeye akija kumueleza tayari "HABARI ZAKE NINAZO"
what if wewe ni mume wangu afu sijui id yako huku jf
hahhaha aisee usije nieleza hii habari
kaa nalo pekee yako
 
Nilijua sku gani aliingia period ya last , kwaiyo nikawa nafatilia kalender yake so alikua kwenye safe days

Yaan daah hadi nashangaa hii mimba sku ile imeingiaje
Tahadhari muhimu..Hata uzifwatile siku zake mwanamke kama anataka kukubebea mimba ataipata tu..

Nwei huna jinsi..Leo tu
 
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
Mtoto ana thamani ya kipekee sana haijalishi ni wa mchepuko au wa mkeo halali. Mambo ya ukabila yalishapitwa na wakati mkuu. Subiri mtoto, maisha yaendelee.
 
subir azae ..mtunze...mtoto akishazaliwa mueleze mkeo....au mueleze mkeo ...siku yeye akija kumueleza tayari "HABARI ZAKE NINAZO"
what if wewe ni mume wangu afu sijui id yako huku jf
hahhaha aisee usije nieleza hii habari
kaa nalo pekee yako
Haha mumeo anafanya gazi sekta gn mkuu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…