Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,295 May 13, 2014 #41 mmaranguoriginal. said: ridhiwani ameshaanza kutimiza ahadi zake kwenye jimbo lake au ilikuwa mtaji wa kupata kura Click to expand... hata asipotimiza atashnda mbona Jk alikaa zaidi ya twenty kwenye ubunge na hakuwatimizia watu wa Pwani wameshazoea na system ya umaskini
mmaranguoriginal. said: ridhiwani ameshaanza kutimiza ahadi zake kwenye jimbo lake au ilikuwa mtaji wa kupata kura Click to expand... hata asipotimiza atashnda mbona Jk alikaa zaidi ya twenty kwenye ubunge na hakuwatimizia watu wa Pwani wameshazoea na system ya umaskini
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,028 Reaction score 26,089 May 13, 2014 #42 Nimecheka sana leo,jamaa mweupe sana huyu!!
U unywele Member Joined May 8, 2014 Posts 51 Reaction score 20 May 14, 2014 #43 DALLAI LAMA said: Hiyo pete kubwa katoa wapi wakati Sheikh Yahya kafariki? Click to expand... Hehehe duh...
DALLAI LAMA said: Hiyo pete kubwa katoa wapi wakati Sheikh Yahya kafariki? Click to expand... Hehehe duh...
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,793 Reaction score 7,168 May 14, 2014 #44 Mbunge mtoto bado anamaziwa babayake kamuwaisha sana angeanza na ukatibu kata
I Imma Saro JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 394 Reaction score 197 Feb 21, 2015 Thread starter #45 Ni ukweli hadi sasa mnaona