Nimemsikiliza Ridhiwan, Bado

Mnafikiri kuna chamaana atakachoongea, Kwani Komba alishawahi ongea kitu cha maana Bungeni kwa manufaa ya Taifa?.

Komba ni Mbunge Kilaza kuliko Mbunge yeyote ktk bara la Africa ,sasa yupo busy akijiandaa kwenda Msituni KUNYA , kwa kisingizio eti anaenda Kupigania Serikali 2 ,Komba cheo jeshini alipewa zawadi tu,zile mbinu za Kijeshi haswaa hazifahamu Hana ujuzi wa kivita ! Huko mistuni sijui ataishi vipi !
 
Kama wanavyo komeshwa watu wa lindi na Mtwara kwa Barabara chafu isiyopitika kirahisi.......kweli karne hii lindi unachukua siku mbili kufika huko...........Nihamishieni kwetu Musoma Bhana.......huku wabaki wenyewe waliozoea........
 
Sijaona tofauti ya mleta mada na hicho anachokituhumu...naye hana uwezo wa kujenga hoja zaidi kujikanyaga tu
 
Anashindwa kuwa tetea watu kama hawa wabebwa kwenye toroli kwenda zahanati.! Yeye ana ng'ang'ana na wapinzani tu!
 

Attachments

  • 1400002602980.jpg
    27.2 KB · Views: 204

Son like fadher.
 
Kijana kashuka nondo za ukweli mnaumia shauri ya wivu tu na donge big up mbinge wetu tunahitaji matawi zaidi jimboni kwako
 
magufuri oyee na za pembezoni mwa jiji zinapukutika kama biscuit
 
Siku hizi watu wengi hawavai pete za ndoa... Wanavaa za maruhani!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…