Nimemsamehe mapema

Si wakati wote njia za mkato ni mbaya.
 
Siku driver wa hayo malori akirudi kumlilia mke wake, utarudi huku kuomba ushauri tena. Huyo ni "mke wa mtu" na angalia driver asikufanyie kitu mbaya.
 
Swali la Kizushi.

Bado Mjamzito?

Au ameshajifungua?

Jibu kwanza Suali langu ili nipate kukusaidia.

Maana hapo kwenye Ujauzito hukufunguka tena.

Ni kama kuna kitu fulani unakificha.

Hebu funguka kwanza
Kaisha jifungua mkuu na saizi mtoto anakaribia miaka miwili
 

Sawasawa mkuu
 

Ngumu kumeza
 
Nionavyo huyo binti alikuwa na huyo mjamaa kwa sababu ya mama yake. Kama mnafudiana zungumzeni kama mko serious oaneni huyo mama asiwafanye mtange tange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulazimisha penzi ni sawa na kulazimisha fani kisha' unakuja kuleta utani...

Kuwa mkweli, hata baada ya hayo yote kweli kabisa kabisa bado unampenda... Sidhani kama ni kweli...


Cc: mahondaw
 
Kulazimisha penzi ni sawa na kulazimisha fani kisha' unakuja kuleta utani...

Kuwa mkweli, hata baada ya hayo yote kweli kabisa kabisa bado unampenda... Sidhani kama ni kweli...


Cc: mahondaw

Mkuu bado nampenda ila shidaa mama wa binti anamwambia binti yake kuwa huyoo mwanaume anaweza kukusaliti any time kwa uliyomtendea hapoo ndipo inaanzia mkuu wakati Mimi Sina mpango mbaya
 
Kama unamsaidia msaidie kama kumsaidia ila mapenzi noo.
Yuko kwako kwakuwa hayakumwendea vizuri yangemwendea wala asingekuwa kwako, so kilichomrudisha kwako siyo mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…