Nn mkuuMuoe
Mkuu si unajua lakin kama mtalaka huwa hatongozwiTuma washenga wapeleke barua,lakini pia uwe makini na huyo single mother,yaan anakufanya chaguo la pili,je mambo yasingekuwa magumu angerudi? Nawewe una take advantage ya njaa yake kumvuta kimapenzi,bado hapajatulia hapo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.sio njaa tuu hali ya kumsaidia ilikua tangu mwanzo kabisaTuma washenga wapeleke barua,lakini pia uwe makini na huyo single mother,yaan anakufanya chaguo la pili,je mambo yasingekuwa magumu angerudi? Nawewe una take advantage ya njaa yake kumvuta kimapenzi,bado hapajatulia hapo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ppita zako hvi katafute wife material maana kama n upendo wa dhat asinge kubal kuwa na uyo jimwanaume n kama mim nkpenda nmependa stak ushaur wa mzaz wa kunvurugia
To be honest naweza kukwambia kwamba uusikilize moyo wako unataka nini kwa uyo dada na pia mshirikishe sana Mungu katika kila stege unayopitia. Inawezekana uyo akawa mke wako au la. All the best
Kama ni changamoto ni mama yake basi unaweza mkaongea mkayamaliza ya naweza kana ila jua kua kuna mapenzi na upendo unaweza ukamchukua na kumuona kwa sababu ya mapenzi and then yakaja kuisha. Na mkaachana na pia kama una upendo ni her piaUnachokisema kweli
Mana moyo wako bado upo na yeye
Ila changamoto kubwa yeye hiyoo na mama yake