Uwezekano wa JPM kuwa Mbinguni ni mdogo kutokana na matendo yake mabaya mengi. Pamoja na kwamba tunafahamu alihangaika sana dakika za mwisho kujipatanisha na Mungu, tunajua alijawa zaidi na hofu ya mauti kuliko hofu ya Mungu.
Mungu muumba ailaze roho yake mahali pema na apewe uongozi wa malaika kama alivyoomba.
Yes Mimi ni miongoni mwa wa Tanzania walioumizwa saana na kushambuliwa kwa Tundu Lissu na kumshutumu Magufuli kua alihusika na unyama ule.
Nilimchukia John kwa jinsi alivyoendesha siasa dhidi ya wapinzani wake lakini kwa haya ninayoyaona kuhusu hawa wapinzani nimeachilia John apumzike kwa amani.
we nae lala ukue
Mkuu hivi kweli kabisa ukitumia akili yako ya kawaida kabisa unaamini JPM au serikali yake ilihusika na kupigwa risasi kwa Lisu? Kuzuia mikutano alikuwa sahihi kabisa angalia sasa Mama kawaruhusu wanazunguka kumzodoa tena kwa mambo mengine ya uongo huku wakijidai kumkumbuka JPM.
Upinzani na Chadema ya kweli iliondoka na Dkt Slaa hawa wengine naona wapo kimaslahi zaidi, wao wanaendeshwa kwa matukio na wanageuka geuka kutokana na wakati kifupi hawajui wanataka nini yaani ni kwamba huu upinzani hauwezi kuwepo bila ccm ila ccm inaweza kuwepo bila upinzani.
Walidai hawazezi shiriki uchaguzi bila tume huru na katiba mpya, cha ajabu sasa hivi wanawahamasisha wananchi kuwachagua wao mwakani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa sasa unajiuliza hawa watu msimamo wao upo wapi mbona hawaeleweki?
Kipindi JPM anazui mchanga wenye madini yaani makinikia yasisafirishwe nje wao walidai ule mchanga sio wetu na tutashitakiwa MIGA, aliposema Magangwala waachiwe wananchi wajitafutie vidhahabu walisema hayo magangwala niyawazungu. Wakati JPM analitetea taifa dhidi ya ufisadi wao walisema anaonea watu kifupi upinzani uliopo umepoteza mvuto kwa kweli ni ngumu sana kumkuta mzalendo kwenye huu upinzani ila ni rahisi kuwakuta wazalendo wachache ccm.
DIKTETA magufuli mzinguaji tu. FASHISTI , John mad dog 🐕
Yaani kipindi cha JPM,mtu akampige Lissu risasi,tena nyingi,apate na muda wa kutoa hadi CCTV,asikamatwe?
Tena JPM akubali kubeba lawama,huku yeye hajui chochote,wahuni waliofanya tukio,wawe wanatamba tu?
Sidhani.
Kamwe makosa ya upinzani hayawezi kufuta makosa ya Jonh
Kama alikuwa mtu mzuri atabaki kuwa mzuri na kama alikuwa mbaya atabaki hivyo.
Tatizo ni kwamba alishaenda motoni hivyo sala zako hazitamsaidia kituu😁