Nimemsaidia mdada nikidhani mjamzito

Kuna siku tulikua na sherehe. Mmoja wa wahudumu alikua anahudumia alikua na tumbooo. Nilajisikia vibaya mno na huruma juu yake kwanini watu wakatili hivi kuruhusu mtu na hali ile kuhudumia. Jaman tumbo ni kubwaaa

Kuna muda akaniomba favour ya chakula. Nikamwambia basi pumzika naenda kukuchukulia. Nikagika kwenye chakula. Nikawaambia naombeni mnisaidie chakula kwaajili ya dada mjamzito anahudumia. Wakaniuliza amekaa kwa wapi nikaqaonyeahea kidole yuleee paleeee.... naluambiaje?? Wale wengine walicheka kufa. Wengine mpk wakatola sehem ya kuserve. Wakaniuliza yule semitrela la bia? Nilitoa machooo... wakanambia asikuhangaishe huyo ni bia hizo ziko humo dada relax katulie tutampelekea tu.
 
Hakuna kitu sipendi kama mwanamke mwenye kitambi halafu sasa walivyo bize kwenye mkusanyiko wa watu hawakuombi kupita wanaku push tu na kitambi unajikuta upo pembeni hao wanapita zao.

 
Hahahaha wanakuwaga noma kweli
2019 nlikuwa natoka Morocco nlikaa na mdada mmoja Alinipelekesha daah hatari ila alikuwa mjamzito kweli mama Mapacha
Leo nimekumbushwa
 
Hakuna kitu sipendi kama mwanamke mwenye kitambi halafu sasa walivyo bize kwenye mkusanyiko wa watu hawakuombi kupita wanaku push tu na kitambi unajikuta upo pembeni hao wanapita zao.

Ukute kwenye usafiri wa umma sasa.Hawapendi kujishikilia hahahaa
 
Ulikuwa unamshikashika humo kwenye basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…