Nimempoteza rafiki

Marafiki vikurumbembe unawapotezea tu dakika sifuri ila yule best friend ni kazi

Huyu nae kashindwa kuheshimu urafiki acha akome nyapu zipo kibao hadi atake ya rafiki ake mxyuuuu

kuna kitu hapo kama umekiona, "huyu anasikitika kumpoteza mshikaji kisa nyapu tu, yule kule kakubali kumtosa mshikaji kisa nyapu, tena x"! na ote hao ni wa kiume!
 
kuna kitu hapo kama umekiona, "huyu anasikitika kumpoteza mshikaji kisa nyapu tu, yule kule kakubali kumtosa mshikaji kisa nyapu, tena x"! na ote hao ni wa kiume!
Haijalishi hata kama ni ex
 
Eti unampooza X wa rafiki yako[emoji57] ,
Nachukia mimi watu ambao hamthamini marafiki wa kweli,
Watu tunapata vimeo mlio nao mnaharibu
 
Kwangu mimi nikisema huyu ni best friend wangu. Ni kama vile bro wangu tu. Sasa kumtongozea ex wake si vizuri. Mbona K ziko nyingi sana.
 
Mods naomba huo msamiati mpya 'kurumbembe'
Upitishwe rasmi kwenye kamusi ya JF
 
Mwanamke unajitambua wewe haswa. Big up
 
daah bro iyo ni bonge ya mistake mwenyew nlishawah fanya hvyo nkajiona mjanja ila mwshowe nkaja kugundua ni jinc gan nlikua mpumbav kabisa
 
nyie hamkuwa na urafiki wa kweli haiwezekani kitu kidogo kama nyapu kiwatenganishe
 
Huyo jamaa mbumbumbuu.. kweli, ukiona mwanamke analeta taarifa za kutongozwa ujue huyo anajitahidi kuprove kwako kuwa ni mwaminifu kumbe hamna lolote, mbona hasemi wale aliowakubali? sitakagi hizo habari mwanamke anachopaswa kufanya ni kumalizana na mtongozaji otherwise aniambie huyo mhusika anamsumbua sana hivyo kuhitaji nguvu ya ziada kutoka kwangu.
 
wewe na x wa rafiki yako wote hamfai kwa matumizi aisee..
 
Higher level ya ukiboro dinda, kutongoza marafiki wa mwenzio/madem wa washikaji zako I hate....
Acha matusi bhaana kwani huwezi kuchangia bila matusi?,acheni tabia hizooo bhana,andika kiheshima sio unaandika kama hili ni jukwaa la machangu doa bhaaana eboooooo,.,,.,,
 
Eti sio rahisi KIIVO khaaaa Nashindwa kumuelewa huyu kiumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…