Nimempoteza rafiki

muachage matamaa ya kipimbi unampoteza mtu muhimu kwenye maisha yako kwa tamaa za kupita jamaa aliona akae na ww mbali unaweza hata kumtongozea mke wake
 
Huyo rafiki yako na demu wake hawajielewi wala hawajitambui.

Hata hivyo kuwa na marafiki wengi sio vizuri kwani pia unakaribisha Maadui wengi na Wanafiki.
 
Huyo rafiki yako na demu wake hawajielewi wala hawajitambui.

Hata hivyo kuwa na marafiki wengi sio vizuri kwani pia unakaribisha Maadui wengi na Wanafiki.
Namie nlikua najua kupoteza rafiki ni easy tu na unampotezea mmmh sio kiivo asee siku za karibuni nimetengana na rafiki angu kipenzi tumesoma wote tangu darasa la kwanza tulikua tunakaa desk moja hadi form six tunakaa wote darasani , hadi leo ni watu wazima tuna familia, familia zimekua rafiki, wamme zetu pia ni wamekua marafiki kuna jambo limetokea hapo kati akawa kama kanichunia dah roho ilikua inaniuma nilikua namtafuta kama naomba kazi yani dah sio rahisi kiivo kumpoteza rafiki
 
Naelewa sana Evelyn Salt na hata mimi nina marafiki ila kama yeye ndio source na wameungana na mpenzi wake kukudis na kukupotezea,je utaendelea kujipendekeza? Mwishoni utabaki kuaibika tu.
 
Naelewa sana Evelyn Salt na hata mimi nina marafiki ila kama yeye ndio source na wameungana na mpenzi wake kukudis na kukupotezea,je utaendelea kujipendekeza? Mwishoni utabaki kuaibika tu.
Marafiki vikurumbembe unawapotezea tu dakika sifuri ila yule best friend ni kazi

Huyu nae kashindwa kuheshimu urafiki acha akome nyapu zipo kibao hadi atake ya rafiki ake mxyuuuu
 
Marafiki vikurumbembe unawapotezea tu dakika sifuri ila yule best friend ni kazi

Huyu nae kashindwa kuheshimu urafiki acha akome nyapu zipo kibao hadi atake ya rafiki ake mxyuuuu
Lakn utamchuniaje mwenzio kisa ex bana huo ushamba
 
Marafiki vikurumbembe unawapotezea tu dakika sifuri ila yule best friend ni kazi

Huyu nae kashindwa kuheshimu urafiki acha akome nyapu zipo kibao hadi atake ya rafiki ake mxyuuuu
Hata huyo dem naye ni kurumbembe pia,madem wa dizain hiyo ni wale "nataka sitaki" kaachana na huyu thn katangaza kabisa hlf baadaye anarudi na kumponda mshkaji mwingine.

Ila all in all, kupiga dem wa mshkaji ni mbaya sana siku zote...inaleta uadui mbaya unaowaumiza wote wawili sana.
 
Kama ameweza kumtongoza ex hata huyo wa sasa hashindwi kutongoza ni vema kujiweka nae pembeni tu kifupi huyu ni fisi
Kwa mfano hapo ulipo mumeo akimla rafiki yako lawama nyingi utamtupia nani mlambaji au mlambwaji
 
Ni kosa ulilofanya mie najua rafiki hua na mtu wako wa karibu,sikuzote usipende mawasiliano na wasichana wa rafiki zako,kwamfano mimi
rafiki zangu mimi ni wangu mimi sio eti mumewangu kaja tumekaa hapo story nakugongeana sijui tunakwenda dinner na shogangu hiyo kwangu haipo,hata mumewangu pia kama watakuja rafiki zake nyumbani baada ya salam hawanioni kuna time hata wakitoka namwambia niagie..
kama atakua na balaa lake ni huko lakini simpi fursa yakumzowea rafiki yangu.... Na wala hata rafiki yangu nikienda kwake mara moja siunajua wale wanaume wengine wakiwakuta wanawake mmekaa atakuja ajiweke hapo na remote mkononi mara kaingilia mazungumzo,ujue ntaaga na kwako siji
au umpe number yangu ya cm mumeo eti atakuja mumewangu sijui mpe hiki na kile ujue sipokei cm yake,jaribu kujiepusha sana na mambo yasio ya lazima..
 
Kuna vitu viwili huvunja undugu au urafiki navyo ni pesa na kuunganisha vikojoleo.
 
tupe hints kitu gani kilitokea
 
una busara sana
 
nyie bado watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…