Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Wananakera sana hawa wapuuzi hata huyu wa leo alikuwa anaongea upuuzi huo huo
 
Na sisi wenye bajaji tunaruhusiwa 'kushuka' na kupambana na bodaboda?
 


Huo ndo uanaume!mtu anayejisifia kupiga tena bas ni mwanaume..mie huwa nawashusha madaraja kbs!
 
Likud usipigane tena,,,kupigana au kupiga kunashusha heshima sana

I second you..niliamua kumuacha kaboyfriend kamoja kajeshi..jaman kenyew kupigana mwenge pale hakaoni ishu..kisa mjeshi...nikasema hunijui ww...!mm mwanaume anayependa mangumi nahisg km sio timilifu..mkoromee mpe jamba jamba achana naye
 
Ukweli uendeshaji wa bodaboda wengi wakiwa barabarani unatia shaka na ukiwa na gari yafaa usiwe na hasira waweza shoot mtu.Nimeshuhudia boda2 mmoja ameenda kukatiza mbele ya tanker ya mafuta few mita kama tatu tu na kuingia kijiweni hadi yule dereva akasimama.Ukweli nilitamani dereva yule ashuke tumkamate yule kijana maana alikuwa mbele yangu na alikuwa kero nampigia honi aache michezo alokuwa anafanya barabarani lakini yeye hakujali.
Wanakera mno.Sina huruma nao maana hata mimi yamenikuta sana hawana adabu barabarani.
 
Boda ni wapumbavu sana,kuna siku natoka nkuhungu kufika 4 way kaingia mzima mzima,nkamla then nkaamsha,ilikuwa usiku saa 4 ivii,
Sijui alipona au vipi
 
Huo ndo uanaume!mtu anayejisifia kupiga tena bas ni mwanaume..mie huwa nawashusha madaraja kbs!
Sasa mkuu km mtu ameku-kosakosa afu bado anakuja juu kwa matusi na pia anaonekana dhahiri anataka kupgana, ukimuacha si dhambi kabsa. Maana unyonge ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…