Akupe ya mokasini ee
I say sintorudia tena. Nina mshipa mmoja. Mara ya mwisho ilikuwa 2003. Nilikuwaga nikimpiga mtu ngumi mambo yafuatayo ilikuwa lazima yatokee.Usirudie kumpiga hivyo mwenzio msije mkagawana majengo ya serikali mkuu
Inawezekana kakaa dakika mbili ila mleta mada akaona kama kumi....si unajua kwenye desperate situation 1min inakuwa one hourUmeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
Haha watu mnajua miandiko ya watu balaa
Labda hivyo eeInawezekana kakaa dakika mbili ila mleta mada akaona kama kumi....si unajua kwenye desperate situation 1min inakuwa one hour
SawaSoma latest thread za Warumi. Utaelewa ninachomaanisha. Hizo "I am like..."
Pacha hivi huu ushamba umeutoa wapi?Moccasin ndio vitu gani?
Taratibu ndugu mleta mada!I say sintorudia tena. Nina mshipa mmoja. Mara ya mwisho ilikuwa 2003. Nilikuwaga nikimpiga mtu ngumi mambo yafuatayo ilikuwa lazima yatokee.
1. Lazima azirai.
2. Lazima nikimbie.
3. Usiku silali kwetu nalala kwa uncle.
4. Lazima niamke saa kumi na moja alfajiri na kwenda hadi nyumbani kwao na jamaa kuona kama wameweka turubai kuna msiba.
Hali hii ilinitesa sana hadi nikaweka nadhiri kwamba sintopigana tena maishani.
Mara ya mwisho nilimliga jamaa akazirai nikakimbia.
Alafajiri naenda kwao kuchungulia nikakuta turubai nikasema "
Mungu wangu nimeua" sikutaka hata kuuliza nani amekufa.
Wakati nipo kwenye harakati za kutaka kutoroka nikasikia tangazo msikitini wanatangaza msiba kumbe aliefariki alikuwa baba wa jamaa niliye mpiga akazirahi nikasema " Alhamdulilahi"
Nimetoka nao mkoani kwetu pachaPacha hivi huu ushamba umeutoa wapi?
Alitumia laki sita na tisini kutengeneza gari, ndipo akapewa pikipiki yakeUnge mtaiti mkuu hawa jamaa ukipeleka majeshi huwa wanatuliaga
Ndo hivyo sura za kipole afu mwendo wa kistaarabu kama wapo madhabauni.Alafu unamchukulia powa kumbe ndo mtoto wa mbwa[emoji23][emoji23]Buhahahaha!!! Halafu wanakuwaga wastaarabu mno.
Unakuhusu au huwa hupandi bodaboda?naona huu uzi ni wa wenye magari,mabodaboda watapita kando.Ila na sisi tusio na magari mnatupa morali ya kumiliki vyuma siku moja.Maana wajanja wanakuambia "hate or get inspired"
No hajaona chai ila amefurahia jinsi boda boda mkorofi aliyejitoa ufahamu alivyo rejewa na ufahamu wake ghafla na kuanza kutoa wosia. Anyway ukizijua ngumi kwanza zitakufanya kuwa na nidhamu lakini pili utazitumia kuwafanya watu wengine pia wawe na nidhamuUmeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
Unakuhusu au huwa hupandi bodaboda?