Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.
Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah )