Nimempenda msichana FaceBook

kwan ushaonananae au umeona picha ukaipenda sema umependa picha ya mschana facebook wewe
 
Ee Maria, mawazo yangu yote wewe ni mwananmke kumbe ni Mwenzetu! Pole na maswahibu ya kimapenzi.

kumbe na wewe ni mvulana?
mbona comments zako zina harufu mbaya hivyo?
ni kweli we ndo masafisha choo lumumba?
 
Ee Maria, mawazo yangu yote wewe ni mwananmke kumbe ni Mwenzetu! Pole na maswahibu ya kimapenzi.

Unapitwaa kule kwenye siasaa wahi kabisaa nasikiaa Slaa na Zito wamedundanaaaaaa
 
......sasa si umfuate bro.....ila ukirudi utupe mrejesho.....
 
hiyo ndio faida tunayopata kutokana na teknolojia ya habari
 
Kabla ya yote inabidi tuziangalie hizo post 4827 ulizotuma, maana inawezekana umeingilia akaunt ya mtu.... this cant be serious man, au na wewe ni...

 
Xana ndio lugha ya wapi hii?

Hata mi nakekereka na haka kaugonjwa,, utakuta dume zima nalo linaandika x badala ya s,,, nahisi kuna tatizo kwa hawa watu
 

dude kama hakuna posibility ya kukutana ama kuja kuwa pamoja why waste ur time? Real life is not a disney world. Stay focused life is to precious to waste ur time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…