Nimempenda binti yake obama

Nimempenda binti yake obama

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,556
Reaction score
422
aiseeee babayangu salamu nyingi ziwafikie wanaJF

jana nimemwona binti yake obama live bila chenga aiseeeee si mchezo mtoto katulia chuchu saa 6 mchana nimetokea kumpenda sana,ngozi nyororooooo,macho gololi hips za wastani,nywele singasinga azijaguswa na masai.yerewiiiiiiiiiiii
mwenye namba zake atiririke jamini,nikimkosa nitakunjwa sumu ya panya,,familia ya obama wakikubali nitawapa hawa:llama:kama mahari
 
Acha uzushi wewe! Labda kama umeona hiyo sumu imekaribia "expiry date"
 
tofautisha kupenda na kutamani ngono. hapo ume-describe mataminio ya ngono na sio upendo
 
Unavamia wachumba wa watu kjana!we hujui kama Maria obama ni mchumba wangu?au unamwongelea nan?
 
aiseeee babayangu salamu nyingi ziwafikie wanaJF

jana nimemwona binti yake obama live bila chenga aiseeeee si mchezo mtoto katulia chuchu saa 6 mchana nimetokea kumpenda sana,ngozi nyororooooo,macho gololi hips za wastani,nywele singasinga azijaguswa na masai.yerewiiiiiiiiiiii
mwenye namba zake atiririke jamini,nikimkosa nitakunjwa sumu ya panya,,familia ya obama wakikubali nitawapa hawa:llama:kama mahari

Peleka posa kwa Jaluo!!
 
we endelea day dreaming wakati mwenzio nakula bata tu , hebu cheki jana nlivyokuwa na majanga
252224_540537349338627_1363002308_n.jpg
 
aiseeeeee babayangu kwani kunaubaya mimi mtoto wa kichaga kumpenda binti yake obama jamani na mimi ninahaki yewiiiii
 
Acha uzushi wewe! Labda kama umeona hiyo sumu imekaribia "expiry date"

ha ha ha ha ha h aiseeee babayangu expiry date yake ni 26,07,2015.... imetengenezwa 01,07,2013 yani bado ni mpya kabisa
 
tofautisha kupenda na kutamani ngono. hapo ume-describe mataminio ya ngono na sio upendo

aiseeee babayangu ni upendo toka moyoni mwangu yani nampenda kuliko mbege babayanguuuuu
 
Obama angekuwa si rais wa Marekani bado ungempenda huyo binti kweli?
 
aiseeee babayangu salamu nyingi ziwafikie wanaJF

jana nimemwona binti yake obama live bila chenga aiseeeee si mchezo mtoto katulia chuchu saa 6 mchana nimetokea kumpenda sana,ngozi nyororooooo,macho gololi hips za wastani,nywele singasinga azijaguswa na masai.yerewiiiiiiiiiiii
mwenye namba zake atiririke jamini,nikimkosa nitakunjwa sumu ya panya,,familia ya obama wakikubali nitawapa hawa:llama:kama mahari

wewe unaumiza kichwa kumpenda wenzio jana wamemnyetukia kiroho safi tu? #UjiowaObama
 
Back
Top Bottom