Nimempata wangu

Nimecheka sana miss chagga bhana akishabanjuliwa basi upendo huwa unapungua
Kama lengo lake ni kumbanjua atajikuta mikono yenye misumari si salama....
Mwingine anania ya kunibanjua alafu anakuja na gia ya kunipenda...bora aseme tu miss chagga naomba nikubanjue leo alafu mi niamue ndiyo au hapana
 
Miss chagga unaneokana una uzoefu na wanaume mpe elimu mwenzako asijione amepata kumbe amepatikana ha ha .
 
Kama lengo lake ni kumbanjua atajikuta mikono yenye misumari si salama....
Mwingine anania ya kunibanjua alafu anakuja na gia ya kunipenda...bora aseme tu miss chagga naomba nikubanjue leo alafu mi niamue ndiyo au hapana
Mimi nikikuambia miss chagga nataka nibanjue kidogo utanikubalia?
 
Oa au olewa kabisaaaa, ili vyovyote itakavyokuwa lakini ijulikane ni mr & mrs.
 
Kwa raha zako,ivi unalala vizuri usingizi kweli manake ukiwaunapenda hata usingizi hua wa shida............
 
Kupenda raha jamani, kupendwa raha zaidi....Mahaba niteke...
 
Hongera sana.
 
Safari yako bado ni ndefu sana, ni mapema sana kujisifia kuwa unapendwa:sly:
 
Teh teh! huo ni muwa utaanza kuhisi utamu unapungua kadiri unavyokaribia matawi.Na lazima uanzie patamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…