Nimempata wangu

Jamaa anakuchora tu...unavyojishaua humu jukwaani...
Usichokijua ni kuwa huyo naye ni skrepa huko alikotoka....
 
Hongera but unge request watu wakuombee dua and nice wishes udumu nae rather than kupongezwa..

Umeongea kitu cha kweli mkuu, maisha ya mahusiano ya siku hizi shetani anatawala kwa kiasi kikubwa sana hivyo kuomba uongozi wa Mungu na baraka ni jambo la maana kabisa kuliko pongezi maana anawezahisi kapata kumbe kapatikana. Ila pamoja nayote hayo kujitambua muhimu.
 
Kweli you were that desperate,mpaka umepost thread...
Uyo ulompata inabidi asome uzi huu ili ajue how much....
La sivyo akija ku-jump ship someone is gonna go insane...
 
Kuwa makini inaweza isiwe salama baada ya kubanjuliwa ... Moyo wa mtu ni kiza totoro
 
Hongera sana ongeza juhudi mwenzako asije kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…