Nimempa ujauzito Hataki kuniona

Nimempa ujauzito Hataki kuniona

jmwalu

Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
71
Reaction score
51
Jamani naomba mnisaidie, inawezekanaje binti ambaye umempa ujauzito ghafla anabadirika hataki kukuona Kabisa ni kweli nakuwa mhusika wa hiyo mimba au nakuwa nimebambikwa tu
 
Jamani naomba mnisaidie, inawezekanaje binti ambaye umempa ujauzito ghafla anabadirika hataki kukuona Kabisa. Ni kweli nakuwa mhusika wa hiyo mimba au nakuwa nimebambikwa tu

Sasa kama kila Saa labda unanuka Kikwapa na unamjambia hovyo unadhani atakuwa na hamu yoyote ya Wewe kumsogelea kama utakavyo? Na hivi sasa Mkoa wa Dar es Salaam kuna baridi nadhani Wanaume majasiri na tunaooga tena maji ya baridi tunahesabika huku wengi wakisogeza mbele kwa Wiki Wiki harakati zao za Kuoga.
 
Tunza mimba. Mwenyewe tuu ataona umuhimu wako.

Una agenda ya kumuoa??
 
Mwanamke akiwa mjamzito huwa wanakuwa na mashart sana muelewe tu usiwe na conclusion kuwa mimba siyo yako ndo maana anakuchukia huwa wanapitia mengi sana wakati wa ujauzito hawa mama zetu.

Anaweza akakupenda na mimba isiwe yako.
 
Mwanamke akiwa mjamzito huwa wanakuwa na mashart sana. Muelewe tu. Usiwe na conclusion kuwa mimba siyo yako ndo maana anakuchukia. Huwa wanapitia mengi sana wakati wa ujauzito hawa mama zetu.

Anaweza akakupenda na mimba isiwe yako.
Ananipa mtihani mkubwa sana
 
Ninaajenda hiyo Kabisa. Nimeshampangia chumba tayari namhudumia kila kitu, lkn sasa ni siku ya nne hataki kuniona eti
Unataka uonane nae ili iweje?? Vumilia ndio mimba zilivyo.

Ila isichepuke
 
Mwanamke akiwa mjamzito huwa wanakuwa na mashart sana. Muelewe tu. Usiwe na conclusion kuwa mimba siyo yako ndo maana anakuchukia. Huwa wanapitia mengi sana wakati wa ujauzito hawa mama zetu.

Anaweza akakupenda na mimba isiwe yako.
Nimekuelewa vizuri mkuu
 
Ni mabadiliko ya muda tu, yataisha akijifungua Mimba zinakuja na sarakasi nyingi sana. Hiyo ya mwenzako imekuja kihivyo wala hujaibiwa ni yako tu Pole sana najua unaumia maana unapenda uwe naye karibu.

Komaa tu, ila najua hata ukilazimisha utatukanwa tena matusi ya nguoni.

Wala usimfikirie tofauti.
 
Ni mabadiliko ya muda tu, yataisha akijifungua.

Mimba zinakuja na sarakasi nyingi sana. Hiyo ya mwenzako imekuja kihivyo.
Wala hujaibiwa ni yako tu.

Pole sana. Najua unaumia maana unapenda uwe naye karibu.

Komaa tu, ila najua hata ukilazimisha utatukanwa tena matusi ya nguoni.

Wala usimfikirie tofauti.
Nimekuelewa vizuri mkuu, nimepata mtihani mkubwa sana maana ni kweli nampenda na ninataka kuona maendeleo ya mimba Kwa ujirani mkubwa lkn imeshindikana sasa
 
Jamani naomba mnisaidie, inawezekanaje binti ambaye umempa ujauzito ghafla anabadirika hataki kukuona Kabisa. Ni kweli nakuwa mhusika wa hiyo mimba au nakuwa nimebambikwa tu
Ukikua utaelewa tu.
Tatizo umri wako bado mdogo sana.
 
Sasa kama kila Saa labda unanuka Kikwapa na unamjambia hovyo unadhani atakuwa na hamu yoyote ya Wewe kumsogelea kama utakavyo? Na hivi sasa Mkoa wa Dar es Salaam kuna baridi nadhani Wanaume majasiri na tunaooga tena maji ya baridi tunahesabika huku wengi wakisogeza mbele kwa Wiki Wiki harakati zao za Kuoga.
Ha ha ha shikamoo Gentamycine.
Hili jibu ni mwisho wa matatizo.
 
Back
Top Bottom