Nimempa Mimba binti wa kiarabu

Wenzangu mnatianaje mpaka mnawapa mimba hawa viumbe Mbona mimi sijawahi kuambiwa nabint kuwa anamimba yangu
 
Hili hulioni sasa kwa kuogopa
Lakini utajuta maishani mwako kwa kuuwa kwa kukusudia
Acha nature ifuate njia zake na ajifungue
Bora hata umshawishi mtoroke mkaanze maisha sehemu nyingine kuliko kuuwa

Unataka waarab waniue?? Afu kutoroka kaz namwachia nan??
 
Kwahiyo Mimi ulikuwa unanidanganya kumbe una mwarabu na umeshammimba 😳 😳 πŸ˜€
 
Unashiriki vipi kutoa mimba wewe,kwanza anasoma level gani usije ukanyemelewa na 5Γ—6
Mwache azae usiogope sijui waarabu watakufanya nini we ombea Tu mwanao asiwe gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…