Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....
Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.
Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love
kwenye paja karibu na papuch kabisaa..
Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?
Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....
Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....
Kuna ambae kakutana na haya?
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....
Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.
Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love
kwenye paja karibu na papuch kabisaa..Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?