Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

Huwa sifuatiliagi haya mataarabu ila nakumbuka mwaka 2000 nilikuwa nimeshuka kwenye ndege Dar nikitokea ughaibuni basi wale immigration wenye roho mbaya wakanitaiti kwa mambo ya kipuuzi nilikaa airport karibu saa nzima ndio nikamuona huyo Nasma kwenye tv zao pale airport anaimba wadudu wadogo wananyevuwanyevuwa.πŸ˜„πŸ˜„

Wakati ule hakukuwa na YouTube wala smartphone wala WhatsApp wala Facebook, ndio nikawauliza wale immigration officers huu ndio mziki gani? Nikaambiwa hiyo ndio inaitwa rusha roho.
 
A
Alikufa zamani sana imebaki mifupa tu sasa dah
 
Chai bila chapati yani uzinguliwe hapo una hasira halafu uulizie taarabu kwa waliokuudhi mmmmh (ujumbe ni kupanda ndege)
 
Chai bila chapati yani uzinguliwe hapo una hasira halafu uulizie taarabu kwa waliokuudhi mmmmh (ujumbe ni kupanda ndege)
Mkuu tufike sehemu tukue kiakili. Hivi kweli bado unaamini mtu kama Matola kupanda ndege ni big deal mpaka aje kusimulia hapa? Uwe unaangalia na wachangiaji wa kuwachukulia poa.....inawezekana kupanda ndege ikawa anasa lakini si kivileeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…