Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,723
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana. Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile. Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P




Nasma Hamisi(Kushoto) akiwa na Khadija Kopa​
 
Nasma khamisi kidogo..Mama mwenye shape lake..alijua kumtikisa khadija kopa🀣🀣🀣

Naona mambo ipo huku taaarabu imoo🎢

Taarabu imoooo..naona mambo ipo huku hukuuu...weeee utaumiza roho yakoooo🎢🎢

R.i.p
 

thank you for your service to the entertainment industry and our country.

May your soul continue to Rest in Eternal Peace. Amen.
 
Alikuwa bendi ya Muungano cultural troupe hawa jamaa walijua kuchezea instruments watakavyo kwanza wimbo tupu unavyoanza unapewa dakika kama mbili hivi usikilize ufundi wao wa kupiga instrumental then ndio vocals zinafuatia.

Rest in peace mamkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…