Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,677
- 6,476
Pole mkuu!Habari,
Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..Habari,
Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).
Mkeo hakupendi mkuu, jipange anza upya bila yeye.Habari,
Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).
Just matter of time utamsahau tuHabari,
Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).
TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu. Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae. Nateseka kinyama yaani.Pole mkuu!
Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?
Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....
Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa
Mrudie!
I hope so!just matter of time utamsahau tu
Huu ni ukweli mchungu kwanguMkeo hakupendi mkuu, jipange anza upya bila yeye.
Sasa haya maumivu nafanyaje?Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Wewe hujawahi kumsaliti?TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu.
Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae.
Nateseka kinyama yaani
Yeye anataka tusiachane TATIZO Mimi nimeshindwa kurudisha Moyo hasa ukiZingatia nnahasira yakumdhuru Kila nikimkumbuka na kumuona .... Nnaona atanigharimu nikirudiana nae.Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..
inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Yani aliyekosewa ndio aombe msamaha ?, Ni ufala wa namna gani huu ..Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..
inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Utapotea wewe...hakupendi angekuzalia watoto?Huu ni ukweli mchungu kwangu
Ulimfumania?Yeye anataka tusiachane TATIZO Mimi nimeshindwa kurudisha Moyo hasa ukiZingatia nnahasira yakumdhuru Kila nikimkumbuka na kumuona .... Nnaona atanigharimu nikirudiana nae.
Swala la kula ujana si kivili issue ni vile nilijitoa Kikamilifu kwakua ni Mama watoto wangu
Kila siku tunasema unapoachana na mtu " Hesabu gharama kwanza" kabla ya kufikia conclusion. Na katika kuhesabu gharama usimuhusishe mtu yeyote Bali wewe mwenyewe kwa sababu gharama za kuachana unalipia wewe, unayemuacha na watoto wako.Habari,
Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Ana uhakika wa 100% kuwa ni watoto wake ? ..Utapotea wewe...hakupendi angekuzalia watoto?
Hao wanaokushauri hivo nao mahusiano yao rojorojo, tia maji shauri yako