binti wa kikwere
Member
- Sep 5, 2014
- 67
- 34
hii siku ikijurudia mbaya sana.ishaa nitokea demu kampa rafiki yake anijaribu,basi story story ika pita kama mwezi hivi nikaja kujua yule demu katumwa na msichana wangu nikasema haina shida,ila tulikuwa tumefika mahali usiku lazima tuonge mpaka hata saa sita,utani mwingi hapa na pale,kidume nikaomba mtoko bila hiyana nikakubaliwa nikaenda kujilia vyangu.saa nikaamisha majeshi siku yule demu kaona msg ya yule rafiki yake ya kimapenzi kwangu,anaanza oooh sijui umetembea na rafiki yang..sijui nini.nikampa jibu moja tu,nani alimpa number yangu na alimwambia afanyaje.sianijaribu mwanaume ajaribiwi wewee

Hahaha...big dummy (if the story is true)