Nimemkimbia traffic police

Nimemkimbia traffic police

Arsenalist1

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
163
Reaction score
50
Habari za jioni,

Leo asubuhi naenda zangu job, niko kwenye foleni, imekaa kama 5min then mbele foleni ikaitwa then traffic kwa mbele akanambia niegeshe pembeni nikapuzia nikanyosha ila nilikuwa sina kosa lolote mbele akanifata na boda boda, nikaona ishakuwa so ikabidi nianze kukimbiza gari nikaingia mtaani bodaboda ikanifata baadae wakanikosa, nikabaki najilaumu why sijasimama wakati sina kosa?

Ila ningesimama labda angenipotezea 5min na nisingewahi taa.

Kama kuna traffic huku ndani ambaye anaweza kufukisha ujumbe awambie hawa mabwana wanatushosha sana, wawe wanangalia wapi pa kusimamisha gari, kwa siku unaweza kusimamishwa hata 3 times for check up.
 
Sasa mkuu kwani traffick wanang'ata!!!!!!

Dah.inawezekana ulikuwa na masoo mengi tu.
 
Mi nimewachia lesen...acha wawape wake zao nisharipot polis kuwa nimepotelewa na lesen
 
Wanatafuta hela kinguvu sana hawa jamaa.
Yani ni shida sana
 
mkuu usirudie tena nilishafanya kama wewe kilichonitokea nilitoa hela nyingi zaidi ya ambazo ningetoa awali kukimbia ni msala zaidi maana miguu miwili sio sawa na minne kwa mfano ungekutana na kafolen mshenzi au ajali ingekuaje???
 
Sasa mkuu kwani traffick wanang'ata!!!!!!

Dah.inawezekana ulikuwa na masoo mengi tu.

Huwez amini mkuu, nilijishanga mwenyew kwanini nimefanya hivo nilikua na haraka na huku foleni imeachia
 
Unamtoroka trafik halafu unaweka hadharani ? Bure kabisa wewe.

Siku nyingine simamisha gari halafu mwambie trafik ASKARI NJOO HAPA. Utaona hawa jamaa walivyo na nidhamu ya woga.
Mimi akinisimamisha akija dirishani hua nawaambia hebu kaniletee sigara duka la karibu, akisha leta sigara mimi ndio namuuliza maswali ya kikazi sio yeye aangalie gari langu tena. Hapo wanajua mie ni bonge la bosi.
 
una mkwala
kwa mkala huo bila shaka askari mwenyewe lazima akupe shikamoo
 
Tii sheria bila shuruti, simama msikilize kwa makini, kumbuka mshahara wake unatokana na wewe. Hakuna mtu anafurahi kulipwa mshahara bila kufanya kazi.
 
Basi itakuwa una majanga mara kwa mara,hivyo hujiamini hata ukiwa poa.

Kiukweli wala sisimamishwa Mara kwa Mara, ila Leo niliona kama kero flani kunisimamisha foleni ilivo achiwa ndio mana nikaendelea alaikua wapi mda wote
 
Ilo soo jua halijaisha wanatabia kushika plate no.siku akikushika tena akakukumbusha usishangae.Siku nyingine ni vyema kusimama ukamsikiliza
 
Uipende tabia ya kuwakimbia kuna siku utakuja sababisha ajali kisha uje kujilaumu.

Muda wa kuupoteza kwa ajili ya hao jamaa ni bora zaidi kuliko muda utakaoupoteza ajalini, hapo siongezei usalama wako baada ya kusababisha ajali
 
Gari mpya majanga.......namba ni D ngapi mkuu.......hongera kwa kupiga hatua........
 
Unamtoroka trafik halafu unaweka hadharani ? Bure kabisa wewe.

Siku nyingine simamisha gari halafu mwambie trafik ASKARI NJOO HAPA. Utaona hawa jamaa walivyo na nidhamu ya woga.
Mimi akinisimamisha akija dirishani hua nawaambia hebu kaniletee sigara duka la karibu, akisha leta sigara mimi ndio namuuliza maswali ya kikazi sio yeye aangalie gari langu tena. Hapo wanajua mie ni bonge la bosi.

Inategemea unaendesha gari la aina gani, ukiwa na baby walker ama Kirikuu " Do not even think of trying that trick". Tukirudi nyuma jamaa wanakera sana aisee, akichikua leseni anaendelea kupiga dili sehemu nyingine huku akikupotezea muda. Mimi akinipiga mkono nasimama kama miguu 40 hivi kutoka kwake mara nyingi wanaghairi
 
Back
Top Bottom