Nimemiss kupendwa sanaaaaaaa

Nimemiss kupendwa sanaaaaaaa

MUNGU aliagiza jukumu la kupenda ni la Mwanaume na wanawake waliagizwa wawaheshimu tu wale wanaowapenda.
Na hapa ndipo binadamu tunapokosea, tunafanya vise versa, yaan Mimi siwezi date na mtu bila kumpenda ,nikijilazimisha kudate na anaenipenda huku mm simpendi akinipigia simu huwa naona kama keroo,yaan sjui why inakuwa hivo, unaempenda hakupend nayy anampenda mwingine
 
Nimemiss kupendwa na mwanamke sanaaaaa.Yani ananitafuta kila saa,tunashinda wote fully malavidavi packages zote.Sijui nipate wapi beautiful wa kupeana haya yote?

Mwanaume gani anaitwa tamuuuuu
IMG_0475.jpg
 
Back
Top Bottom